kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. mtudedewaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kitabu cha Enock kiliondolewa kwenye baadhi ya Biblia?

    Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi na Kikristo, kitabu hiki kimekuwa na ushawishi mkubwa, hasa katika Ukristo wa mapema na katika baadhi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  3. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya kitabu cha kutoka/exodus movement of Jah people cha dini ya rastafari

    "Exodus" ni dhana muhimu sana katika dini ya Rastafari, na pia inahusiana sana na muziki wa reggae, hasa kupitia wimbo maarufu wa Bob Marley, "Exodus" uliotolewa mwaka 1977. Ingawa wimbo huo wa Marley unahusu zaidi harakati za kisiasa na kiroho za watu wa Kiafrika, dhana ya "Exodus" inarudi...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Kwa Bamkwe Kinaporuka na Kutua

    KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA Mikono inamtetema. Hii "tetema," ni msamiati wa sasa. Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka. Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa sababu angalia anavyoifungua bahasha. Bahasha ina namna yake ya kuifungua Ndugu yetu hakufungua bahasha...
  7. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe

    PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha kwanza kilikuwa kitabu cha Dr. Harith Ghassany ambacho nilishiriki katika utafiti wake kama...
  9. Nzi Chuma

    JamiiForums Tanzania Kitabu bora cha Mathematics O-level

    1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4 2. 29 Chapters, 505 pages, full colour. 3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake. 4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100 5. Kuna mitihani 10 ya samples 6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kitabu kinaitwa THE ANIMAL FARM

    Wakuu naomba kitabu kinachoitwa THE ANIMAL FARM
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru na Kitabu Cha Mwenge wa Uhuru ("The Torch on Kilimanjaro") Cha Oxford University Press

    MWENGE WA UHURU NA KITABU CHA WATOTO CHA MWENGE WA UHURU ("THE TORCH ON KILIMANJARO") Mwaka wa 2007 Oxford University Press (OUP), Nairobi walianzisha mradi wa kusomesha Kiingereza na historia pamoja kwa shule za msingi Afrika ya Mashariki. Nia yao ikiwa wanafunzi wa shule za msingi katika...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo 10 Muhimu Utakazojifunza Kutoka Kwenye Kitabu Cha "Make Money With Affordable Apartments Buildings And Commercial Properties"

    Kitabu "Make Money With Affordable Apartment Buildings and Commercial Properties" kinazungumzia njia mbalimbali za kuwekeza katika mali isiyohamishika kwa gharama nafuu. Hapa ni mambo 10 utakayojifunza kutoka kwenye kitabu hiki kwa kila sura: Sura ya Kwanza. Utangulizi wa Uwekezaji katika Mali...
  13. Hassan Mambosasa

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: Jino kwa jino

    Fikiria wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana mjini, unamiliki kampuni iliyopata heshima kubwa. Baba yako ni mkuu wa majeshi mstaafu, kaka yako ni kanali wa jeshi, shemeji yako ni mbunge na mtoto wa Rais wa nchi. Mjini kote wanatambua nguvu kubwa ya ushawishi waliyonayo familia yako. Unapewa...
  14. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha “Mmomonyoko wa Maadili, Nani Alaumiwe” chazinduliwa

    DSM, 3 Julai, 2024. _________________ Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Mhe. Dkt. Abubakar Zuberi. Uzinduzi huo umefanyika Julai 03...
  15. kajunjumele

    JamiiForums Tanzania Wadau Mwenye hiki kitabu anisaidie"YOUR TWELVE POWERS by Dr.Murpy"

    Husika na kichwa hapo juu.Naombeni softcopy ya hicho kitabu tafadhari.
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania A Journey My Life, Speeches & Writings Kitabu Cha Maisha ya Juma Volter Mwapachu

    "A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na wino kumkaukia. Leo nimekitia kitabu mkononi. Kwa hakika nimechelewa kukipata na sababu ni kuwa...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Naombeni kitabu kitakachobadilisha mindset yangu

    Wakuu, Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity. Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania How You Can Get Richer... Quicker!: Kitabu nilichokipenda, nikakiogopa, lakini nataka nikisome tena!

    Nani alishakisoma kitabu tajwa? Kimeandikwa na M. R. Kopmeyer. Ni kati ya vitabu vyangu vya mwanzoni kabisa kukinunua baada ya kuamua kuwa "serious" kwenye usomaji wa vitabu. Nilikinunua Kase Store jijini Arusha mwishoni mwaka 2007. Nikilipenda sana mwanzoni, lakini baada ya kukisoma chote...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
Back
Top Bottom