kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  2. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Makamba aja na kitabu "Cha kale Ni dhahabu"

    "Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri uwezo wake wa uongozi. Nilivibaini vipaji vyake adimu vya kuhamasisha, kuunganisha watu, kujieleza na...
  3. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha GIANTS: Be that top 1% kimetoka rasmi

    GIANTS: Be that top 1% NAKALA YA KITABU HIKI YAPATIKANA KWA 9,000 TU kwa Hardcopy na kipo kwa lugha ya kiingereza. 0628556739 piga au tuma messeji Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

    Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania John Malecela amefikisha miaka 90, Cleopa Msuya amshauri aandike kitabu cha maisha yake

    MZEE JOHN MALECELA AMEFIKISHA MIAKA 90 MZEE CLEOPA MSUYA KAMSHAURI AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE TANZANIA IFAHAMU MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Nimeangalia video ya Mzee Malecela aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Waziri Mkuu akisheherekea miaka 90 nyumbani kwake...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa, Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  11. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Mwanafunzi: Jifunze kusoma kwa hatua

    Tanzania Wafungaji - Tanzania South Afrika Wafungaji - South Africa Egypt Wafungaji - Egypt Champions League Wafungaji - Champions League
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania KITABU: Kamlete, akibisha mlipue by Hammie Rajab

    SURA YA 1 KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi. Safari hii, hata alipofumbua macho, alikuwa na hakika kabisa kuwa risasi mbili alizofyatua zilimpata kiongozi wa nchi kichwani na...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa quran kikawa ni kitabu kilichokuwa na kila kitu

    Katika surat al baqar aya 48 amewaelezea waislael ambapo anasema" o children of israel!remember my favour which i bestowen upon you and that exalted you above the people..kwa kuangalia ayah hii nikagundua quran haijabakisha jambo kwani hata wadudu na sayari zimeongelewa.
  14. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipi Kimekupendeza na zipi falsafa ulizopenda humo kati ya Mkapa na Mwinyi

  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Story ya Kambona ipo kwenye kitabu cha kina Shivji

    Huyu Kambona huyu? alikuwa mjanja mjanja sana. Nani alikuwa anamtuma. Baadhi ya Mikasa yake Odinga anamshauri arudi Tz, anakataa Anaunda tuvikundi huko Msumbiji kuleta mchafukoge Tz Anaalikwa Nigeria anamponda Mwalimu Anamleta ndugu yake Kenya kutoka London wanaanzisha kajarida ka udaku...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

    THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuandika kitabu kizima kwa emoji tu?

    Hizi emoji ni hieroglyphs za kisasa?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

    Habari ndugu zangu, Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya. Msaada tafadhali
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

    Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
Back
Top Bottom