"Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA.
Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla.
Kitu kinachojitokeza kwa...
Habari wakuu.
Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30.
Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI.
Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani.
Usishtuke sana, acha tupige...
Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book.
Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
afariki dunia
amekufa
bernard membe
buriani
hospitali
jasusi
kamanda
kifo
kitabu
mambo ya nje
maombolezo
marehemu
mazishi
mbowe
membe
mkubwa
musiba
nyumbani
picha
Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania.
Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu...
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura.
Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya.
Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872.
Asante.
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa...
Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki whatsapp 0715278384.
Muandishi: Dale Carnegie, 1936.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha.
Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
Hello bosses and roses...
Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa.
Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.