Naomba Fatawa za Maulamaa kutoka katika kitabu na Sunnah katika hili.

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,797
8,500
Asalaam alykum.
Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia.

Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi.

Wabillah Taufiq
Screenshot_20230817_124747_Lite.jpg
 
Nguruwe ni Haram kuliwa,huko nyuma chanjobya UTI wa mgongo ikitengenezwa kwa Mali ghafi baadhi toka kwa nguruwe na Saudi Arabia usingeenda hijjah bila chanjo hiyo,mpaka Malaysia au Indonesia walipogundua chanjo kutumia palms,pombe ni Haram kwenye uislam lakini pombe ipo kwenye dawa mbalimbali,haishangazi kiungo Cha nguruwe kufanya kazi kwa binaadam,nguruwe na binaadam wanashabihiana ndiyo maana Haram kumla,ni sawa na kumla binaadam mwenzio
 
Hadi kufikia miaka ya mwishoni mwa 1980's sehemu kubwa ya insuline kwa matumizi ya binadamu ilitengenezwa kutokana na nguruwe. Baada ya hapo ndipo mbadala wa kutotumia malighafi ya nguruwe iligundulika. Kwa kweli nguruwe acha tu apewe maua yake. Huyu mnyamaa anatufaa sana kwa tiba na kitoweo murua.

Kule Ukraine wanakula mafuta yake bila kupika wenyewe wanaita Salo. Inasaidia sana kwenye baridi kali inaupa mwili joto
 
Wanakula mafuta ya omnivores mwenzao,binam yao
 
Ndugu BARDIZBAH jf ni platform kubwa sana unaweza pata utatuzi wa majambo mengi sana yanayokutatiza katika upande wowote, naamini humu kuna viongozi Wa dini tena dini zote pia kuna watu wana elimu tena elimu zote

ila kwa fatawa, yaani kwani ilmu ya kiislamu ninayoijua Mimi, basi huwa haipataikani namna hii unayotaka wewe

it's a wrong way! Kwanini?

elimu/fatawa ni jambo zuri mtu kuwa nayo au kuipata ila unaipata kwa nani? Je unajua sanadi yake ya ilmu?

unajua madhehebu yake? Kuna siku nimeenda sabasaba mwaka huu pale uhasibu nikapita moja katika banda la dini madhehebu ahmadiya ambayo yapo sana India na nafikiri wameanzia huko ambayo kuna bwana wanamuitakidi kuwa alikuwa mtumi nimesoma kipeperushi chao baada ya kufika home asee ndio nikagundua kumbe ni watu wale

Kwahiyo mambo kama sanadi, itikadi, madhehebu, manhaji lazima uijue ya mtu unaetaka kupokea ilmu au fatwa kutoka kwake ndugu yangu

Sijasema majibu yaliyotolewa hapo ni rongo au kweli maana Mimi mwenyewe wala sjui hukmu yake ila nakutahadharisha tu kuwa hakuna wahyi huku eeh unless you communicate with someone you know kupitia mtandao hapo hamna neno maana ni just means ya communication ila sio hii ya kurusha kokoro kwenye maji alafu unataka sato tu eti kambare hutaki utakuwa muongo.
 
Ndugu BARDIZBAH jf ni platform kubwa sana unaweza pata utatuzi wa majambo mengi sana yanayokutatiza katika upande wowote, naamini humu kuna viongozi Wa dini tena dini zote pia kuna watu wana elimu tena elimu zote

ila kwa fatawa, yaani kwani ilmu ya kiislamu ninayoijua Mimi, basi huwa haipataikani namna hii unayotaka wewe

it's a wrong way! Kwanini?

Kwahiyo mambo kama sanadi, itikadi, madhehebu, manhaji lazima uijue ya mtu unaetaka kupokea ilmu au fatwa kutoka kwake ndugu yangu

Sijasema majibu yaliyotolewa hapo ni rongo au kweli maana Mimi mwenyewe wala sjui hukmu yake ila nakutahadharisha tu kuwa hakuna wahyi huku eeh unless you communicate with someone you know kupitia mtandao hapo hamna neno maana ni just means ya communication ila sio hii ya kurusha kokoro kwenye maji alafu unataka sato tu eti kambare hutaki utakuwa muongo.
Shukran mkuu wangu , nimekuelewa sana. Naona uchache wangu wa elimu ndio umenifikisha huku.
 
Nguruwe ni Haram kuliwa,huko nyuma chanjobya UTI wa mgongo ikitengenezwa kwa Mali ghafi baadhi toka kwa nguruwe na Saudi Arabia usingeenda hijjah bila chanjo hiyo,mpaka Malaysia au Indonesia walipogundua chanjo kutumia palms,pombe ni Haram kwenye uislam lakini pombe ipo kwenye dawa mbalimbali,haishangazi kiungo Cha nguruwe kufanya kazi kwa binaadam,nguruwe na binaadam wanashabihiana ndiyo maana Haram kumla,ni sawa na kumla binaadam mwenzio
Weka ushahidi uharamu wa nguruwe!👂👂
 
Back
Top Bottom