FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,058
- 40,721
Je, karatasi yenye umri mkubwa kabisa ya maandishi ya lugha ya kiswahili ina umri gani / iliandikwa mwaka gani?
Duuh, means miaka ya 1100?! Alisoma shule gani kiasi cha kujua kuandika? Namaanisha kuandika sio kuongea...Utenzi wa Fuma lyongo Karne ya 12
Fumo sio Fuma.Utenzi wa Fuma lyongo Karne ya 12
Umenikumbusha shule tulikariri mashairi yake "Wagala mumemuona lyongo kiwatokea"Je, karatasi yenye umri mkubwa kabisa ya maandishi ya lugha ya kiswahili ina umri gani / iliandikwa mwaka gani?
Lyongo kitamkali....Duuh, means miaka ya 1100?! Alisoma shule gani kiasi cha kujua kuandika? Namaanisha kuandika sio kuongea...
Aisee..., badala ya kufundishana akina Lyongo tumekomaa na akina shakespearLyongo kitamkali....
Majimboni yu maarufu
Tamu Sana ileAisee..., badala ya kufundishana akina Lyongo tumekomaa na akina shakespear
Kwa hiyo Kiswahili Cha karne ya 12 kinafana na Kiswahili hiki Cha 2020?Nakumbuka mashairi machache ya Fumo Lyongo
"Kilimo kama mtukufu, mpana na mrefu majimboni yu maarufu watu huja kumuangaliya.
Lyongo kitamkali akabaligi vijali akawa mtu wa kweli na haiba huongeya." Kama nimekosea naomba kurekebishwa maana ni umri wa mtu sasa tangu nisome mashairi hayo.
Sidhani, maana kwenye hilo shairi sijaweza pata mantiki ya sentensiKwa hiyo Kiswahili Cha karne ya 12 kinafana na Kiswahili hiki Cha 2020?
Akabaligi inamaana gani?Kwa hiyo Kiswahili Cha karne ya 12 kinafana na Kiswahili hiki Cha 2020?