Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

Siyo Mzuri!

Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika.

Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili?
 
Nimeshangaa sana hayo maneno kwenye huo wimbo.
 
Ni wimbo wa taifa wa Afrika. Kuna wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki pia kwa kiswahili

Siyo Mzuri!

Mungu Ibariki Afrika ndiyo wimbo unaoifaa Afrika.

Sasa huu wimbo una maneno ya mwili sijui wa jua au mwili wa anga, hiki ni kitu gani sasa? - Hakimake sense!, Tangu lini jua likawa na mwili?

Maneno ni tafsiri ya wimbo wa taifa wa Umoja wa Afrika kwa kiingereza
 
Back
Top Bottom