Airtel rekebisheni Kiswahili katika hizi SMS zenu

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Screenshot_20200921-080811_1600664944676.jpg


Wanasema bando yako. Jamani watalam wa Kiswahili . Je ni sahihi kusema bando yako? Mimi nafikiri sahihi ni kusema Bando lako.
 
Sasa kama Wewe unajua kuwa Kiswahili hicho cha Bando kimekosewa na unajua kinavyoitwa Kiusahihi wake kwanini hujakisema hapa? Umetuboa!
 
Back
Top Bottom