Mnaombaje Green Card ya USA? Nataka nijaribu nikafundishe Kiswahili huko na je huwa siyo ya magumashi?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Jamani Green card inaombwaje, mnaojua mtusaidie tukafundishe lugha yetu tamu na adhimu ya Kiswahili, mlioshinda na wenye uzoefu naomba mniongoze njia.

Nataka nikale baga na piza ila nitawamisi senene, mbege, dagaa wa Kigoma na Mwanza, Kisamvu na msusa wa karanga.

Basi nitafanyeje!
 
Tanzania iliondolewa ktk list ya nchi za kushiriki Bahati nasibu ya green card. Cha msingi Tafuta fursa za kiswahili ubalozi WA Marekani Utafanikiwa.. Wapo waliofanikiwa na wapo Marekani saiv wanafundisha kiswahili..
 
Green Card Ninyi Misukule Wa Jiwe mlishapigwa marufuku kushiriki.

Hamna Kumbu Kumbu
Sijui ni makusudi au sijui ni kutokufahamu kwenyewe! Green card bado inaweza kupatikana kwa njia nyingi kwa MTz ila tuliyopigwa ban ni green card lottery.

Acheni kupotosha uma.
 
Una kichaa wewe
Sasa kwani Green card ni nini? Si ndio inakufanya uishi permanent US? Kuna njia nyingi za kupata Green card.Kuna through family,employment n.k.Kwa msaada zaidi zipitie hapa👇👇👇
Green Card Eligibility Categories
Hiyo Green card lottery ni kama mchezo wa bahati nasibu unaokufanya upate hiyo Green card itakayokufanya uishi Marekani kama ukibahatika.Kama umeshindwa kumeet criteria za wewe kuweza kupata green card kwa njia za awali,hii inaweza kukufaa na ukapata nafasi kama ukibahatika.
Hivyo Mtanzania mwenye ndoto ya kuishi Marekani kazuiwa kupata Green card(permanent residency) kwa njia ya Green card lottery tu.Ila zipo njia nyingine za kupata nimeshazieleza hapo juu.
Tatizo madogo mkikaa mjini kidogo mnajiona mnafahamu mambo kuliko wazoefu.
 
Upo sahii, akikaa chooni atafikiria na kuelewa usiwaze
 
Back
Top Bottom