Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.

At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be introduced in schools in future.

Swahili is a Bantu language widely spoken in the Great Lakes region and other parts of eastern and south-eastern Africa including Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, the Democratic Republic of Congo (DRC) and parts of Malawi

If introduced, Swahili will be the first African language from outside the boundaries of the world's largest producer of diamonds by value.

The Southern African Development Community (SADC) region will be one of the major trading partners with many Swahili-speaking countries in the near future, which Botswana needs most as it is vying for an export-led economy, Molao said.

English, French and Portuguese are the three languages currently used by the SADC.


Botswana to introduce Swahili language in schools | Nation
 
Botswana to introduce Kiswahili in schools

The Citizen

Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Mgombea wetu yupo mapumzikoni maana bado haelewi ni strategy gani nzuri ya kumkabili Lissu the Great

Ngoja tuone atatoka na style gani baada ya kichapo cha bukoba na geita
 
Kwani kuna Mgombea yoyote Yule ambaye unadhani Mimi hapa ndiyo nimemlenga Mkuu? Huu Uzi wangu unawahusu Wagombea wote na uwafikie.
Hapana mkuu, uzi wako uko very general.

Ila kwa kuwa unawahusu wagombea wote, hizi 'sindano' zikitua kwa mgombea 'aliyelegea' zitamsababishia 'dhahma'.
 
Mkuu siku za hivi karibuni umekuwa ukiandika madini ya ukweli...

Hongera sana...,,na tafadhali endelea hivo

Pia usisahau tarehe 28 october kumpigia kura Tundu Lissu...


Botswana to introduce Kiswahili in schools

The Citizen

Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
 
Hii nchi ina utajiri mkubwa wa madini ila tatizo ni ugojwa wa Ukimwi umeitafuta sana hii nchi.inasemekama asilimia 20 ya nchi nzima wameungua.

Kwa iyo kwenye kila Wabotswana wa 5 basi yupo mmoja mwenye VVU
 
Mkuu siku za hivi karibuni umekuwa ukiandika madini ya ukweli...

Hongera sana...,,na tafadhali endelea hivo

Pia usisahau tarehe 28 october kumpigia kura Tundu Lissu...

Pamoja na hizi 'Kongole' zako zote Kwangu ila GENTAMYCINE Kura yangu ya Urais ni kwa Magufuli, Ubunge Gwajima na Diwani ni yake Rwakatare.
 
Back
Top Bottom