Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu wa Tanzania;

Mabalozi wapya kutoka nchi za kigeni wakipewa vitabu kadhaa vya kujifunzia Kiswahili cha msingi au bidhaa za kitalii kama vile ngao, mashuka au vibuyu vya kimasai (Diplomatic Gifts) itasaidia katika kuitangaza vema Tanzania, lugha pamoja na tamaduni zetu?

mpaper_1580274329_5e31129989d75.jpg

A diplomatic gift is a gift given by a diplomat, politician or leader when visiting a foreign country. Usually the gift is reciprocated by the host. The use of diplomatic gifts dates back to the ancient world and givers have competed to outdo each other in the lavishness of their gifts.

Examples include silks given to the West by the Byzantines in the early Middle Ages, the luxury book, and panda diplomacy by the Chinese in the twentieth century.

Picha hapo chini ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.

2194835_IMG_20191026_155724_733.jpg

Gift exchanges take place in the ceremonial climate of toasts, banquets, speeches and formal greetings. A Diplomatic Gift often captures the essence of a nation, chosen for its ability to exhibit pride in a unique culture and people. Diplomatic Gifts may showcase traditions of fine or folk arts, crafts or craftsmanship.

They may display wealth in precious stones or metals, fine textiles and apparel. Gifts may draw from a rich heritage of antiques and antiquities or an expressive storehouse of cultural icons. This way the gift becomes more than a mere formality, but a
reminder of the special alliance between the gift giver and receiver.

Kama tumeweza kumshawishi ndugu yetu Ramaphosa kujifunza kuzungumza kiswahili walau kile cha msingi tu, basi tunaweza pia kushawishi mabalozi wa nchi za kigeni katika kujifunza lugha hii adhimu kabisa na fahari yetu sisi watanzania kwa maana muandishi mashuhuri wa vitabu huko Marekani bwana Barry Lopez alipata kusema maneno haya kwamba For so many centuries, the exchange of gifts has held us together. It has made it possible to bridge the abyss where language struggles.

OUR MOTTO
: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Ninaonaga picha mabalozi wanakabidhi hati za utambulisho ila sijawahi kuona picha ya balozi kupewa zawadi yoyote kama sehemu ya ukarimu na uungwana kwa mgeni ambayo ndio desturi yetu njema sisi watanzania.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu wa Tanzania;

Mabalozi wapya kutoka nchi za kigeni wakipewa vitabu kadhaa vya kujifunzia Kiswahili cha msingi au bidhaa za kitalii kama vile ngao, mashuka au vibuyu vya kimasai (Diplomatic Gifts) itasaidia katika kuitangaza vema Tanzania, lugha pamoja na tamaduni zetu?

View attachment 1534085

A diplomatic gift is a gift given by a diplomat, politician or leader when visiting a foreign country. Usually the gift is reciprocated by the host. The use of diplomatic gifts dates back to the ancient world and givers have competed to outdo each other in the lavishness of their gifts.

Examples include silks given to the West by the Byzantines in the early Middle Ages, the luxury book, and panda diplomacy by the Chinese in the twentieth century.

Picha hapo chini ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.

View attachment 1534084

Gift exchanges take place in the ceremonial climate of toasts, banquets, speeches and formal greetings. A Diplomatic Gift often captures the essence of a nation, chosen for its ability to exhibit pride in a unique culture and people. Diplomatic Gifts may showcase traditions of fine or folk arts, crafts or craftsmanship.

They may display wealth in precious stones or metals, fine textiles and apparel. Gifts may draw from a rich heritage of antiques and antiquities or an expressive storehouse of cultural icons. This way the gift becomes more than a mere formality, but a
reminder of the special alliance between the gift giver and receiver.

Kama tumeweza kumshawishi ndugu yetu Ramaphosa kujifunza kuzungumza kiswahili walau kile cha msingi tu, basi tunaweza pia kushawishi mabalozi wa nchi za kigeni katika kujifunza lugha hii adhimu kabisa na fahari yetu sisi watanzania kwa maana muandishi mashuhuri wa vitabu huko Marekani bwana Barry Lopez alipata kusema maneno haya kwamba For so many centuries, the exchange of gifts has held us together. It has made it possible to bridge the abyss where language struggles.

OUR MOTTO
: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Kutana nao uwafundishe kiswahili kwa kuongea nao na kuwatafsiria, kumpa kitabu pekee haitoshi.
 
Back
Top Bottom