Wakenya mnatuharibia Kiswahili

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,165
3,655
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.

"NENDA KANIINGILIE"

"VENYE UKIKWENDA"

"SI UKUJE".

Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
 
Bado umesahau lile neno nikikupea utawezana

Badala ya angeandika hivi namnukuu "Nikikupa utaweza" Mwisho wa nukuu
 
Vituo vya Radio vya Tanzania vinatia kinyaa, ni makosa matupu unaona kero hata kuendelea kusikiliza. Kuna vipindi vyengine ndio vimezidi, watangazaji wake wabovu kwelikweli kwenye kuzungumza kiswahili ilimradi tuu anajuwa kusema basi na yeye ni mtangazaji.
 
We bila shaka ni mkenya...ngoja nikurekebishe kidogo...sio kujuwa ni kujua....sio kusema ulimaanisha kuongea.....Hivi wakenya mtajua lini kiswahili fasaha ? Ni nani aliwaroga aisee
Vituo vya Radio vya Tanzania vinatia kinyaa, ni makosa matupu unaona kero hata kuendelea kusikiliza. Kuna vipindi vyengine ndio vimezidi, watangazaji wake wabovu kwelikweli kwenye kuzungumza kiswahili ilimradi tuu anajuwa kusema basi na yeye ni mtangazaji.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom