Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

manafyale

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
277
158
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.

Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na Marekani, alimkejeri kwa kusema nchi yetu haiwezi kufanya chochote ni lazima tukope leo tumeingia ktk uchumi wa kati na tukiendelea hivi tutaachana na mikopo, ambayo inakuwaga na mashariti magumu mashariti mengine Lisu anayapenda na ni mtetezi wa hayo. Leo tunashuhudia kwa mara ya kwanza tangia kupata uhuru kumbe kuto kukopa inawezekana.

Lisu hanauchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili alisikika akitoa povu baada ya kukamatwa kwa mchanga wenye madini ukitaka kutoroshwa yeye alitoa povu, povu lilimtoka akisema wayaachilie hili wazungu wayachukue, huyu ndiyo Rais wetu mtarajiwa. Alikwenda mbali zaidi na kuchimba biti nzito kuwa kama Magu ataendelea kuyashikilia yale makinikia atapigwa kama Gadafi au Sadam Hussen. Huyu ni Tundu Lisu Rais wetu ajaye.

Afrika tumekuwa na utamaduni wa kujali chetu yaani vitu vyetu hatakama ni duni tumefundishwa kuviheshimu kwani ni vyetu lakini yeye alipokuwa Ulaya na Marekani alikuwa akitusi na kukashif mihundombinu yetu kama madaraja na barabara akitukuza za Ulaya na kusema zetu ni takataka.

Lisu amethubutu hata kumtukana aliyekuwa baba wa taifa hili ambapo sisi waafrika tumekuwa tunawaheshimu ansestaz wetu kama kudumisha mila lakini yeye alimshindilia mitusi na kashifa mtuaambaye yupo kaburini amelala hawezi kujibu, na alienda mbali zaidi na kusema wala hastahili kuwa baba wa taifa. Huyu ni Lisu rais wetu ajae.

Lisu amesikika mara kadhaa akikashif watu akiwemo Rais hajui kizungu, yaani Lisu anaamini kabisa kujua kizungu ni jambo la fahari sana kuliko lugha yako ya nyumbani. Je akienda Jamaika akisikia wanavyoonge kiingereza wale wabunge ambacho hawezi kuelewa atasemaji, je akimsikiliza Malema wa Afrika ya Kusini, Au akisikiliza bunge la Nigeria atasemaje. tujikwamue kutoka utumwa wa kiakili.

Wakati taifa la Tanzania likiwa linajulikana kama kisiwa cha amani duniani, lisu ni shahidi, kila taifa likipata matatizo wanakimbilia hapa, lakini Lisu anatafuta kila aina ya njia nchi hii iingie katika machafuko, mahubili yake ni maandamano, kuvunjifu wa sheria na kuhatarisha usalama.

Chadema imekosa laiti kandideti kabisa kwa mara ya pili mfulurizo kwa kumleta mzungu atutawale tena hilo ni kosa ambalo hata Mungu aliyesababisha Tanganyika na Zanziba awezi kukubali. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubari ujinga kama huu.

Hiki chama kikongwe kweli kimechoka sana tunajua, kinatakiwa kikapumzike ila si kwa kutolewa na mtu kama Lisu tuacheni utani Watanzania tuwe siriaz kidogo.

Nashindwa kuelewa kwanini CCM inaendelea kutawala na uzee wake wote maana hata katika animal kingidomu mnyama akizeeka anauliwa au kutolewa katika uongozi lakini leo CCM inamiaka 70 kama ni mtu basi hata meno hana hivyo CCM inatakiwa iondoke lakini si kwa kuleta midhaa kama kumweka Lisu, huu ni ujinga tutakaa sana na ndiyo maana huu unaitwa ulofa.

Mbona KANU iliondoka, ZDCP Zanbia kiliondoka, MCP Malawi kiliondoka, Leo mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya ni Rais kupitia chama cha upinzani yaani ni kama Makongolo Nyerere anakuwa Rais kupitia Chadema hiyo safi.

Kama wapinzani hawata acha mihemko na kutulia kutengeneza strategiki, kufanya kama walivyofanya Malawi Kwa Kamuzu Banda, Kenya, Zambia kwa Kaunda CCM itatawala milele na rushwa haita isha Tanzania. CCM imechakaa, hata Magu amekuja katika kizazi hiki anakamua katika mazingira magumu sana sema ninyi malofa hamjui tu. Huyu angekuwa katika chama kipya tungepaa zaidi ya hapa, leo hii ni rushwa, rushwa imekamata kwakuwa chama kimezeeka.

Nawasilisha Mr. Malafyale a.k.a Mla sadaka (mchugaji).
 
Kama wazungu sio kila kitu, kwa nini misafara ya wakubwa wa nchi inasindikizwa na Ambulance tulizozawadiwa na Wazungu?

Wawe basi angalao wanafunika zile plate number na bendera za CCM ili tusione DFPA!
 
Wakati katika mila na destuli za kiaafrika zilikataa mapenzi ya jinsia moja yeye amekuwa mtetezi mkubwa wa tamaduni za kimaghalibi iliwemo tigo kupikwa na kuwekwa mezani kuliwa. Huyu ni Tundu Lisu. Mwanzoni nilifikili labda atakapokuwa anagombea Urais atakanusha mambo hayo lakini ameendelea kutete starehe hiyo ambayo ni abominanesheni.

Wakati taifa la Tanzania likiwa linajulikana kama kisiwa cha amani duniani, lisu ni shahidi, kila taifa likipata matatizo wanakimbilia hapa, lakini Lisu anatafuta kila aina ya njia nchi hii iingie katika machafuko, mahubili yake ni maandamano, kuvunjifu wa sheria na kuhatarisha usalama.

Chadema imekosa laiti kandideti kabisa kwa mara ya pili mfulurizo kwa kumleta mzungu atutawale tena hilo ni kosa ambalo hata Mungu aliyesababisha Tanganyika na Zanziba awezi kukubali. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubari ujinga kama huu.

Hiki chama kikongwe kweli kimechoka sana tunajua, kinatakiwa kikapumzike ila si kwa kutolewa na mtu kama Lisu tuacheni utani Watanzania tuwe siriaz kidogo.

Nashindwa kuelewa kwanini CCM inaendelea kutawala na uzee wake wote maana hata katika animal kingidomu mnyama akizeeka anauliwa au kutolewa katika uongozi lakini leo CCM inamiaka 70 kama ni mtu basi hata meno hana hivyo CCM inatakiwa iondoke lakini si kwa kuleta midhaa kama kumweka Lisu, huu ni ujinga tutakaa sana na ndiyo maana huu unaitwa ulofa.

Mbona KANU iliondoka, ZDCP Zanbia kiliondoka, MCP Malawi kiliondoka, Leo mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya ni Rais kupitia chama cha upinzani yaani ni kama Makongolo Nyerere anakuwa Rais kupitia Chadema hiyo safi.

Kama wapinzani hawata acha mihemko na kutulia kutengeneza strategiki, kufanya kama walivyofanya Malawi Kwa Kamuzu Banda, Kenya, Zambia kwa Kaunda CCM itatawala milele na rushwa haita isha Tanzania. CCM imechakaa, hata Magu amekuja katika kizazi hiki anakamua katika mazingira magumu sana sema ninyi malofa hamjui tu. Huyu angekuwa katika chama kipya tungepaa zaidi ya hapa, leo hii ni rushwa, rushwa imekamata kwakuwa chama kimezeeka.

Upinzani uchwala kamwe hautaweza kuitoa CCM neva!

Nawasilisha Mr. Malafyale a.k.a Mla sadaka (mchugaji).
Wewe kwakuwa ni Manafyale sina cha kuongea juu yako. Lakini kama ingekuwa Malafyale, Malafyale ninaowajua mimi hawana ujinga kama huu wa kwako.
 
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.

Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na Marekani, alimkejeri kwa kusema nchi yetu haiwezi kufanya chochote ni lazima tukope leo tumeingia ktk uchumi wa kati na tukiendelea hivi tutaachana na mikopo, ambayo inakuwaga na mashariti magumu mashariti mengine Lisu anayapenda na ni mtetezi wa hayo. Leo tunashuhudia kwa mara ya kwanza tangia kupata uhuru kumbe kuto kukopa inawezekana.

Lisu hanauchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili alisikika akitoa povu baada ya kukamatwa kwa mchanga wenye madini ukitaka kutoroshwa yeye alitoa povu, povu lilimtoka akisema wayaachilie hili wazungu wayachukue, huyu ndiyo Rais wetu mtarajiwa. Alikwenda mbali zaidi na kuchimba biti nzito kuwa kama Magu ataendelea kuyashikilia yale makinikia atapigwa kama Gadafi au Sadam Hussen. Huyu ni Tundu Lisu Rais wetu ajaye.

Afrika tumekuwa na utamaduni wa kujali chetu yaani vitu vyetu hatakama ni duni tumefundishwa kuviheshimu kwani ni vyetu lakini yeye alipokuwa Ulaya na Marekani alikuwa akitusi na kukashif mihundombinu yetu kama madaraja na barabara akitukuza za Ulaya na kusema zetu ni takataka.

Lisu amethubutu hata kumtukana aliyekuwa baba wa taifa hili ambapo sisi waafrika tumekuwa tunawaheshimu ansestaz wetu kama kudumisha mila lakini yeye alimshindilia mitusi na kashifa mtuaambaye yupo kaburini amelala hawezi kujibu, na alienda mbali zaidi na kusema wala hastahili kuwa baba wa taifa. Huyu ni Lisu rais wetu ajae.

Lisu amesikika mara kadhaa akikashif watu akiwemo Rais hajui kizungu, yaani Lisu anaamini kabisa kujua kizungu ni jambo la fahari sana kuliko lugha yako ya nyumbani. Je akienda Jamaika akisikia wanavyoonge kiingereza wale wabunge ambacho hawezi kuelewa atasemaji, je akimsikiliza Malema wa Afrika ya Kusini, Au akisikiliza bunge la Nigeria atasemaje. tujikwamue kutoka utumwa wa kiakili.

Wakati taifa la Tanzania likiwa linajulikana kama kisiwa cha amani duniani, lisu ni shahidi, kila taifa likipata matatizo wanakimbilia hapa, lakini Lisu anatafuta kila aina ya njia nchi hii iingie katika machafuko, mahubili yake ni maandamano, kuvunjifu wa sheria na kuhatarisha usalama.

Chadema imekosa laiti kandideti kabisa kwa mara ya pili mfulurizo kwa kumleta mzungu atutawale tena hilo ni kosa ambalo hata Mungu aliyesababisha Tanganyika na Zanziba awezi kukubali. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubari ujinga kama huu.

Hiki chama kikongwe kweli kimechoka sana tunajua, kinatakiwa kikapumzike ila si kwa kutolewa na mtu kama Lisu tuacheni utani Watanzania tuwe siriaz kidogo.

Nashindwa kuelewa kwanini CCM inaendelea kutawala na uzee wake wote maana hata katika animal kingidomu mnyama akizeeka anauliwa au kutolewa katika uongozi lakini leo CCM inamiaka 70 kama ni mtu basi hata meno hana hivyo CCM inatakiwa iondoke lakini si kwa kuleta midhaa kama kumweka Lisu, huu ni ujinga tutakaa sana na ndiyo maana huu unaitwa ulofa.

Mbona KANU iliondoka, ZDCP Zanbia kiliondoka, MCP Malawi kiliondoka, Leo mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya ni Rais kupitia chama cha upinzani yaani ni kama Makongolo Nyerere anakuwa Rais kupitia Chadema hiyo safi.

Kama wapinzani hawata acha mihemko na kutulia kutengeneza strategiki, kufanya kama walivyofanya Malawi Kwa Kamuzu Banda, Kenya, Zambia kwa Kaunda CCM itatawala milele na rushwa haita isha Tanzania. CCM imechakaa, hata Magu amekuja katika kizazi hiki anakamua katika mazingira magumu sana sema ninyi malofa hamjui tu. Huyu angekuwa katika chama kipya tungepaa zaidi ya hapa, leo hii ni rushwa, rushwa imekamata kwakuwa chama kimezeeka.

Nawasilisha Mr. Malafyale a.k.a Mla sadaka (mchugaji).
Unamshambulia Lissu ndio maana hupewi maksi zozote kwenye uzi huu, jaribu kusoma alama za nyakati.
 
Hapa nimeishia kuona furushi la propaganda ya kipuuzi, tena iliyoandikwa kwa kiswahili kibovu.
 
Na ww unaamin nchi inajiendesha yenyewe sasa😁 hivi nyie ni nani aliewalogaga
 
Tanzanja haina Amani ina utulivu tu.

Viongozi wakuu wa CCM wameingia mikataba imenyonya Raslimali zetu
Rejea sili katika mikataba ya Madini vitalu vya uwkndaji nk nk

CCM imetuibia katika mklikataba ya IPTL KAGODA, GREEN DEEP, RICHMOND NK...

Punguza ujinga
 
Kama kweli ww ni malafyale bc utakuwa malafyale wa kalonga malawi ...futa jina la malafyale haraka Sana ...umeandika ushuzi mtupu
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Sisi ndiyo hatuna akili si yeye wale wanaomshadadia
 
Ninakushukuru kwa haya;
1. Umekiri kuwa ni rais ajaye kwa hili japo umesema kiunafiki lakini litatimia

2. Wewe ni muongo awamu hii imekopa kuliko awanu zote.
Kwa hiyo lisu atakopa kuliko wote kwa kuwa hatakusanya bali ataweka rehani rasilimali zetu na ikipungua sisi tutawekwa dhmana, hatari saana.
 
Tujikwamue kutoka utumwawa kiakili wapinzani wa bongo hawako serious hata kidogo, kiki ya kupigwa risasi iendane na mtu. wanashindwa nini kuwajua watanzania wanachotaka.
 
..TL ndio amekuwa akipambana na makampuni ya madini tangu yaanze kuingia hapa nchini.

..tunaujua mchango wa TL kutetea wananchi wa Rufiji delta, Bulyankhulu, Nzega, North Mara, Geita, Mtwara, Lindi, na kwingineko.

..wakati TL akitetea wananchi wa maeneo yote hayo Magufuli alikuwa akiunga mkono miswada ya sheria za madini na mikataba inayoumiza nchi.

..Na tangu ameingia madarakani Magufuli na serikali yake wamewasamehe Barrick deni la ukwepaji kodi la usd 191 billion. Badala yake wamekubali malipo ya kishika uchumba ya usd 300 million. Pia Magufuli ameruhusu makinikia yaendelee kusafirishwa nje ya nchi wakati alidai smelter lazima ijengwe hapa Tanzania.
 
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.

Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na Marekani, alimkejeri kwa kusema nchi yetu haiwezi kufanya chochote ni lazima tukope leo tumeingia ktk uchumi wa kati na tukiendelea hivi tutaachana na mikopo, ambayo inakuwaga na mashariti magumu mashariti mengine Lisu anayapenda na ni mtetezi wa hayo. Leo tunashuhudia kwa mara ya kwanza tangia kupata uhuru kumbe kuto kukopa inawezekana.

Lisu hanauchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili alisikika akitoa povu baada ya kukamatwa kwa mchanga wenye madini ukitaka kutoroshwa yeye alitoa povu, povu lilimtoka akisema wayaachilie hili wazungu wayachukue, huyu ndiyo Rais wetu mtarajiwa. Alikwenda mbali zaidi na kuchimba biti nzito kuwa kama Magu ataendelea kuyashikilia yale makinikia atapigwa kama Gadafi au Sadam Hussen. Huyu ni Tundu Lisu Rais wetu ajaye.

Afrika tumekuwa na utamaduni wa kujali chetu yaani vitu vyetu hatakama ni duni tumefundishwa kuviheshimu kwani ni vyetu lakini yeye alipokuwa Ulaya na Marekani alikuwa akitusi na kukashif mihundombinu yetu kama madaraja na barabara akitukuza za Ulaya na kusema zetu ni takataka.

Lisu amethubutu hata kumtukana aliyekuwa baba wa taifa hili ambapo sisi waafrika tumekuwa tunawaheshimu ansestaz wetu kama kudumisha mila lakini yeye alimshindilia mitusi na kashifa mtuaambaye yupo kaburini amelala hawezi kujibu, na alienda mbali zaidi na kusema wala hastahili kuwa baba wa taifa. Huyu ni Lisu rais wetu ajae.

Lisu amesikika mara kadhaa akikashif watu akiwemo Rais hajui kizungu, yaani Lisu anaamini kabisa kujua kizungu ni jambo la fahari sana kuliko lugha yako ya nyumbani. Je akienda Jamaika akisikia wanavyoonge kiingereza wale wabunge ambacho hawezi kuelewa atasemaji, je akimsikiliza Malema wa Afrika ya Kusini, Au akisikiliza bunge la Nigeria atasemaje. tujikwamue kutoka utumwa wa kiakili.

Wakati taifa la Tanzania likiwa linajulikana kama kisiwa cha amani duniani, lisu ni shahidi, kila taifa likipata matatizo wanakimbilia hapa, lakini Lisu anatafuta kila aina ya njia nchi hii iingie katika machafuko, mahubili yake ni maandamano, kuvunjifu wa sheria na kuhatarisha usalama.

Chadema imekosa laiti kandideti kabisa kwa mara ya pili mfulurizo kwa kumleta mzungu atutawale tena hilo ni kosa ambalo hata Mungu aliyesababisha Tanganyika na Zanziba awezi kukubali. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akakubari ujinga kama huu.

Hiki chama kikongwe kweli kimechoka sana tunajua, kinatakiwa kikapumzike ila si kwa kutolewa na mtu kama Lisu tuacheni utani Watanzania tuwe siriaz kidogo.

Nashindwa kuelewa kwanini CCM inaendelea kutawala na uzee wake wote maana hata katika animal kingidomu mnyama akizeeka anauliwa au kutolewa katika uongozi lakini leo CCM inamiaka 70 kama ni mtu basi hata meno hana hivyo CCM inatakiwa iondoke lakini si kwa kuleta midhaa kama kumweka Lisu, huu ni ujinga tutakaa sana na ndiyo maana huu unaitwa ulofa.

Mbona KANU iliondoka, ZDCP Zanbia kiliondoka, MCP Malawi kiliondoka, Leo mtoto wa mwasisi wa taifa la Kenya ni Rais kupitia chama cha upinzani yaani ni kama Makongolo Nyerere anakuwa Rais kupitia Chadema hiyo safi.

Kama wapinzani hawata acha mihemko na kutulia kutengeneza strategiki, kufanya kama walivyofanya Malawi Kwa Kamuzu Banda, Kenya, Zambia kwa Kaunda CCM itatawala milele na rushwa haita isha Tanzania. CCM imechakaa, hata Magu amekuja katika kizazi hiki anakamua katika mazingira magumu sana sema ninyi malofa hamjui tu. Huyu angekuwa katika chama kipya tungepaa zaidi ya hapa, leo hii ni rushwa, rushwa imekamata kwakuwa chama kimezeeka.

Nawasilisha Mr. Malafyale a.k.a Mla sadaka (mchugaji).
Wewe ulie na uchungu hebu tuhabarishe hizi rasilimali tulizokuwa nazo tangu kuumbwa kwa dunia hii zimetunufaisha vipi miaka 60 ya uhuru kama hata madawati yenyewe yanatupiga chenga hadi wananchi tuchangie?
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Hebu kwanza tuhakikishie kwamba Lissu aliwatetea wazungu kwenye swala la madini.
 
Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na Marekani, alimkejeri kwa kusema nchi yetu haiwezi kufanya chochote ni lazima tukope leo tumeingia ktk uchumi wa kati na tukiendelea hivi tutaachana na mikopo, am
Lakini hata JK alisema hatujaingia uchumi wa kati alioulenga na kuuasisi Mkapa 🤣
 
Ninakushukuru kwa haya;
1. Umekiri kuwa ni rais ajaye kwa hili japo umesema kiunafiki lakini litatimia

2. Wewe ni muongo awamu hii imekopa kuliko awanu zote.
Huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kulipa kiasi unachokopa (hasa katika hii mikopo ya maendeleo ya taifa) hivyo sioni ubaya kukopa. Ubaya utakuja kama hela ya mkopo tunaitumia kufanya mambo ya kijinga ambayo hayaleti maendeleo kwa nchi yetu. Hakuna nchi iliyoendelea bila kukopa hata miradi mingi wakati wa serikali ya Nyerere na hata serikali zilizofuata baadaye zilikopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Kama una miradi mingi hasa mikubwa kukopa sana ni lazima. Huwezi kujenga nyumba ya ghorofa moja kwa mkopo wa nyumba ya tembe
 
Back
Top Bottom