Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe
Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood!
Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile.
This is a call to...
Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired.
Nimemuahidi Jamaa...
Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja.
https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.
Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
Hello ladies and Gentlemen?
Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI?
Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.
Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi
✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu.
👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza
🙏Bei yake 495,000/=
Naliuza kwa sababu na shida
Piga simu leo
0713...
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.
Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.
Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na
unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na
watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo;
(i)Umeme ukikatika ghafla hauna haja ya kuandika order yako upya,
bali ukiwasha na kubofya "restore pages" utapata oda yako jinsi...
Ninataka mbegu na siyo miche.
Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe.
Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.