Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.

Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400. Urusi ilikua na ndege 8 tu za aina hii.

Ndege hii inadaiwa kutunguliwa na mfumo wa Patriot. Urusi bado haijathibisha taarifa hizi.

20240115_164643.jpg
 
Last week hawa hawa Ukrain walisema wame tungua ndege 4 za Su -57 mpaka leo hakuna hata kapicha.
Ukraine hawajawahi sema wametungua Su-57. Kama una ushahidi leta!

Labda unachanganya na Su-34 ambayo ilitunguliwa kweli
 
Ngoja tusubiri retaliation sasa, sijui safari hii Putin atarusha makombora Mia ngapi, kama baada ya kulipuliwa ile submarine na meli pale Crimea alirusha zaidi ya makombora 100,safari hii nadhani yatakua mia mbili.
 
Tena medani yenyewe kukiwa na mataifa zaidi ya hamsini yakiwa yameungana dhidi ya taifa moja.
Hususan mataifa hayo yakiwa na muungano wa kijeshi aina ya NATO.
Hayo hawayasemi wao masaa yote ni kuzungumzia jinsi Putin na Urusi watakavyo pewa cha mtema kuni na NATOna washorika wake - siku zina kwanda na majimbo yaliyo twaliwa/tekwa na Urusi mpaka sasa Ukriaine haija fanikiwa kirudisha hata moja - masaa yote ni adithi za kifukirka za so called massive counter offensive dhidi ya Jeshi la Urusi which has proven arbottive for Ukraine and their pay masters time and time again save western massive propaganda -moja wapo ikiwa hii ya kudai eti ndege ya kuongozea jetfighters kwenye airborne targets na high valued land based air defense system imetunguliwa, hizi ndizo adithi za kufikirika za the Ze Kukoyo tumemzoea.
 
Mbona ww husemi mpaka Leo mwaka wa pili Urusi imeshindwa hata kuitwaa Donbass yote huku akiwa kashapoteza askari kibao bila kusahau kashatumia kila aina ya silaha hapo ukraine kasoro nyuklia.

Kwahiyo unabisha hilo dege halijatunguliwa au?!
 
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.

Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400. Urusi ilikua na ndege 8 tu za aina hii.

Ndege hii inadaiwa kutunguliwa na mfumo wa Patriot. Urusi bado haijathibisha taarifa hizi.

View attachment 2872644
Labda na mimi nichangie leo
Je wewe Umeona ndege iliyotunguliwa hapo?
 
Back
Top Bottom