kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  2. Bukali

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1. Elevators zake 2 2. Destoner 3. Cleaner. Pia inaoption ya kupata brown rice. Shida yangu ni ushauri, je...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mradi wa Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi, umekwama kukamilika

    Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

    Hayo yamesemwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania alipotembelea stesheni ya kisasa iliyojengwa eneo la Gerezani jijini Dar es salaam. Waziri mkuu Kassim Majaliwa aliupongeza uongozi wa shirika la reli nchini TRC kwa kusimamia huo mradi huo unaotekelezwa na kampuni ya Yapi...
  5. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Paul Building Agency watakujengea nyumba ya kisasa kwa bei poa kabisa

    Paul building agency tunafanya shughuli zifuatazo:- Tuna design Tunajenga majengo. Tunafanya ukarabati majengo chakavu. Tunapatikana dar es salaaam. Karibuni mpate huduma zetu popote pale Tanzania. 0655173113 paulbuildingagency@outlook.com
  6. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo". Ipo hivi, kuna wadada...
  7. laurentie

    JamiiForums Tanzania Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  8. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitanda vya kisasa vinauzwa bei nafuu

    Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758 4 kwa 6 , 250000 5 kwa 6, 300000 6 kwa 6 , 350000 Karibuni sana.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa stendi ya kisasa umeanza?

    Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo umeanza au umeahirishwa? Sababu iliyo nisukuma kujua jambo hilo ni kutokana na usumbufu mkubwa uliopo...
Back
Top Bottom