africatuni
Member
- Nov 13, 2023
- 52
- 104
Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood!
Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile.
This is a call to every business leader out there, share with us please!! Mfumo wowote unaokurahisishia kazi zako ata kama ni manual.. ila ni mchakato ambao wafanyakazi wako ni lazima waufwate katika kutimiza majukumu yao.
Generally, natamani tupeane ujuzi kama vile; unatunzaje kumbukumbu zako za mauzo, matumizi, manunuzi n.k unaendeshaje restaurant au hoteli yako, nyumba ya wageni unaisimamiaje wafanyakazi wasikuibie, una handle vipi advertisement, unaduka la reja reja unamanage vp stock n.k inshort mifumo ambayo inapunguza biashara kunitegemea sana in a way kwamba nisipo kuwepo mambo yasikwame.
Binafsi natumia kuza business! Application ipo app store, Kutunza kumbu kumbu zangu za manunuzi, mauzo, matumizi na madeni. Ni one of the best apps I've seen, natamani ninge ifahamu mapema.. Ni user friendly anyone can use it. Inatoa analysis ya mwenendo wa biashara mf. Bidhaa gani inauzika sana, mwezi niliomake sana, mteja alieniungisha sana n.k Pia unaweza manage madeni kwa kuwakumbusha kwa Texts. Anyway unaweza ifatilia and see if it feets you! So katika hii section ya kutunza kumbukumbu nimenawa mikono i got my buddy!
Naomba kuweka kalamu chini.. Jukwaa ni lenu ndugu zangu, kila kiongozi wa biashara shusha nondo chini apa namna unavyoendesha biashara yako na una swing vipi na utandawazi?
Thank you for your valuable time!