Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 634
- 1,264
Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired.
Nimemuahidi Jamaa nitakwenda siku 1 kuona namna wanavyolima. Niache maneno, angalia video hizo hapo chini.
Hapa wakipiga madawa kwa kutumia drone kwenye viazi mviringo na Chini Central Pivot ikimwagilia Mahindi. Kumbe watanzania tume advance sana kwenye Kilimo.
Nilimuuliza Jamaa yangu kuhusu uzalishaji kwa eakri akaniambia, Mahindi wanavuna gunia 42 kwa ekari na viazi mviringo wastani wa gunia 150 hadi 170 kwa ekari. Binafsi nimevutiwa sana.