Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,720
10,216
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.

Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.

Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom Embassy.

Wananchi wote mnahamasishwa mkachangie kwa moyo mmoja, toa sadaka yenye kuuma, toa kwa moyo mmoja na wala USIULIZEULIZE.

NB:-
Ndani ya mji huo kutakuwa na shopping malls, Hotel za kifahari, hospitali, na shule.

Pia kutakuwa na uwanja mdogo wa ndege kwa ajili ya wageni wanaotaka kwenda kwenye vivutio mbalimbali vya utalii wakitokea kweñye mji huo wa Malisa.
 
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.

Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.

Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom Embassy.

Wananchi wote mnahamasishwa mkachangie kwa moyo mmoja, toa sadaka yenye kuuma, toa kwa moyo mmoja na wala USIULIZEULIZE
Tununue tu turudi Gexaulole tukalime....nasubiri changu
 
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.

Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.

Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom Embassy.

Wananchi wote mnahamasishwa mkachangie kwa moyo mmoja, toa sadaka yenye kuuma, toa kwa moyo mmoja na wala USIULIZEULIZE

Nikikuta siku mke wangu kakanyaga kwa manabii au hata anasikiliza redio zao na maombi ya uongo, ndo siku ambayo ndoa yangu itakuwa imefika tamati.
 
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.

Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.

Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom Embassy.

Wananchi wote mnahamasishwa mkachangie kwa moyo mmoja, toa sadaka yenye kuuma, toa kwa moyo mmoja na wala USIULIZEULIZE
si angesogea huko ngerengere kuna maeneo makubwa zaidi.

halafu si umesema ameahidiwa fungu la pesa ndefu na Baba wa kiroho wa huko Marekani ili kufanikisha kuwainua wana kibangu?

Sasa michango na sadaka za mafukara na maskini ni kwaajili ya nini tena?

Tumuombe Roho Mtakatifu atusaidie uelewa na ufahamu wa kutambua kirahisi, alama za ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza...
Aimen
 
Nabii wa Machafuko
 
NB:-
Ndani ya mji huo kutakuwa na shopping malls, Hotel za kifahari, hospitali, na shule.

Pia kutakuwa na uwanja mdogo wa ndege kwa ajili ya wageni wanaotaka kwenda kwenye vivutio mbalimbali vya utalii wakitokea kweñye mji huo wa Malisa.
Bado hamjasema....... mpaka mseme
 
Back
Top Bottom