kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. Jang hyuk

    JamiiForums Tanzania Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

    Shikamoni wakubwa.. Vijana wenzangu mambo vipi.. Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni mwa mwaka niliamua nipambane nikafanya kazi mbalimbali kama saidia fundi na kufyeka n.k...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kipi muhimu Haki au Amani?

    Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

    Kuna baadhi ni unisex havina shida Ila kuna baadhi vinaweza kuleta shida likitokea la kutokea Shanga Chupi Boxer Mkufu? Vest?
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kipi chakula chako pendwa?

    Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo Jiona una kula nini show us
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kipi hasa huchochea vijana wengi kupendelea kuvaa suruali au kaptura chini ya makalio yao?

    Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini. Na baadhi yao...
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya pesa na furaha?

    Kipi bora kati ya pesa na furaha?
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

    Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
  10. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  11. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

    Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
  12. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  16. Insidious

    JamiiForums Tanzania Kipi cha kuzingatia wakati wa kununua gari kwa mtu

    Kwema wanajukwaa? Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  18. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  19. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  20. Nakfa

    JamiiForums Tanzania Kipi bora Truck Mechanics ama Electronics

    Shalom, Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA? Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree) Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
Back
Top Bottom