Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

KIKUBWA TUNAAMINI MAANDAMANO AWAMU YA PILI YATAKAYOFANYIKA SIKU YA UFUNGUZI MASHINDANO YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRICA LAZIMA TUTAUFUTA UTAWALA WA WAKOLONI WEUSI WA CCM.NGUVU YA KUIONDOA CCM TUNAYO,SABABU NA NIA YA KUIONDOA TUNAYO. EWE MTANGANYIKA JIANDAE KIKAMILIFU KUFANYA MAANDAMANO YA UKOMBOZI WA UHURU WETU DHIDI WA WAHUNI WANAOTEKA HOVYO WATANGANYIKA KAMA WALIVYOWATEKA TEMBA,KIBAO,POLEPOLE,NA WENGINE WENGI ZAIDI YA MIA MOJA KAMA TAARIFA YA TLS ILIVYOFAFANUA KUHUSU UTEKAJI UNAOFANYWA NA HUYU JIBIBI WA KIZIMKAZI
 
Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
Unapaswa ujue kuwa hapatakuwepo tena na maandamano ya namna hiyo tena hapa nchini; ambapo watu watajitokeza na kuangukia mitutu ya bunduki ambayo hawakuitegemea.

Maandamano, kama yatakuwepo, na yanapaswa yawepo ni yale ambayo waandamanaji wanajuwa lengo lao kuwa ni moja tu; la kuwang'oa madarakani wahalifu wote wanaoshikilia madaraka kwa kutegemea mitutu ya bunduki.

Hiyo mitutu ya bunduki ni mali ya waTanzania; na ni hao hao watakaoitumia kuwang'oa hawa wahalifu.

Hakuna tena damu ya waTanzania itakayomwagwa bure kiasi kile bila ya kutimiza malengo ya maandamano hayo.

Ni wazi 'attitude' anayoionyesha mhalifu Samia, hii ndiyo njia pekee waliyobaki nayo waTanzania kumtia adabu mhalifu huyu.
 
"Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na Oktoba 29?"

1.Wewe unafikiri hao wauaji watakuwa na ujasiri tena wa kuua waTanzania kama walivyofanya hiyo Oktoba?

Fikiria hilo kwanza. Wao watakuwa ni vichaa, waliochoka na maisha yao?
Hata dunia nayo itakaa kimya na kuendelea kama hakuna lililotokea?

2. Haiwezekani tena kuwepo na maandamano kama hayo ya Oktoba 29, bila ya kuwepo kwa njia ya kujibu mapigo.
Samia hana mwili tofauti na binaadam wengine, kwamba hawezi kudhuriwa yeye na kundi lake moja kwa moja.

3.Hadi sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaohusisha vyombo vya dola kuhusika katika mauaji ya Oktoba.
Usitegemee waTanzania hao wanyamazie tena yaliyotokea Oktoba 29.

4. Maandamano makubwa yoyote yakitokea tena, huo ndio utakuwa mwisho wa Samia na Genge lake. Hakuna tena namna nyingine ya wao kuendelea kutawala taifa hili.
 
Maandamano kuwa ya muda mrefu
baadhi ya wandamanaji kutumia siraha za jadi na za kisasa

maandamano ya mapinduzi ni gafla pasipo serikali kujiandaa kuyazuia

sababu ni za kisiasa, chuki dhidi ya ccm

Jw kuganyika
 
Back
Top Bottom