Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,432
- 1,361
Wapendwa wana JF ,,, habari ya uzima wenu habari za weekend,,, Mungu ni mwema sana namtukuza kwa wema wake.
Nina mawazo mawili ambayo yananitatiza maana kuna jambo la kwanza "KUOA" au kununua computer kwaajili ya kurecord Gospel,,,,kazi yangu me nimchoraji wa picha na maandishi pia ni mwalimu wa kwaya
MUNGU kanipatia kipawa hicho lakini bado sijaoa nipo Age 31 Years,,,kuna kipindi jambo liliwaka la kununua computer na nikawa nimepata 2200k ambapo iitakiwa nifikishe 350k kwaajili ya computer,nikawa nimeahirisha kununua computer pesa nikajikuta nimeila nikafeli maana nilishinda kuchukua maamzi,,kwa sasa shauku kali sana ya kuchukua Desktop ili nianze Recording maana nishaanza kujifunza recording na mixing so nina experience kidogo,,,,,, Mawazo hapa yanagongana kipi kianze kati ya Computer na Kuoa japo pia mchumba bado sijapata,,,,,kwenye kazi za uchoraji si kwamba niza kila siku natamani nisipo kuwa na kazi ya uchoraji niwe natulia kwenye Computer,,,,,,Kipi nianze nacho wadau!