Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,594
Reaction score
107,553
Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife.

Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
 
Hao wana dini waachie mambo yao
Ukiwafatilia sana utachang'anyikiwa 🤣
 
Back
Top Bottom