kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cheo na Amani kipi bora?

    Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 yaliyotokea, ni kipi kinawapa wasiwasi?

    Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi. Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe. Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe. Ni kwamba kuficha ukweli dunia isijue kuwa ile nchi ambayo kila kiongozi anatanguliza amani ila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

    Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  7. Farolito

    JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kipi Polepole atazungumza? Na kipi ambacho wasikilizaji wanatamani kukisikia?

    Mimi Sijambo! Polepole alisha-miss target 🎯 tangu siku ya kwanza. Sijajua nini atafanya kurudisha mchezo katika umiliki wake. Kwa kweli bado natathmini nini atafanya kuitikisa serikali ya Samia Suluhu ambayo kwa sasa ninaweza kusema ni adui namba moja wa Polepole katika Vita aliyoianzisha...
  10. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kwako kama mzazi kwa watoto wako?

    Kukuza watoto wako wawe kama Winga / mshambuliaji inaweza kuwa biashara yenye mashaka . Ukikuza kuwa mabeki ( fullbacks ) ambao watatoa 7/10 kila wiki uwanjani . Hawa ndyo watadumu kwenye timu moja kwa miaka 10 na zaidi. Watoto wangu watakuwa na picha za kina Mohammed Hussein( Zimbwe Jr ) ...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  12. proton pump

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua. Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi. Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT" Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli Wenye nakala...
  13. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

    Jitafakari!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kipi afadhali katika ya hivi vitu viwili

    Kati ya kufumaniwa na mke wa mtu na kukutwa unafanya uchawi kipi kina afadhali. Msala gani una afadhali kati ya hiyo misala miwili?😁
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya tuziogope maiti

    Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana. Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
  17. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kipi bora uwe na kitu, ukipoteze? Au bora usiwe nacho kabisa!

    Kwema bandungu! KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi. Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa? HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na mjadala.
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

    Hellow Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini? Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af yule binti alikuwa ana nisusia so najipimia mpaka nikinai na siku nime mtafuta haku pindua alikuja...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kipi kinachofelisha kusiwepo na mchezo wowote unaowakutanisha wachezaji wa jinsia zote kwenye timu moja.

    Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all. Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0) Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume..... Yaani...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi waomba mikopo wanaokwama kujaza taarifa za NaPA

    Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa Jukwaa la Elimu (Education Forum) aliandika “Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu” Mwanachama huyo alidai kuwa uombaji wa mkopo wa Chuo kuna kipengele kipya cha...
Back
Top Bottom