Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

Kujenga mwenyewe

Ukijitia kununua kuna wamba wanajiita jenga uza hao, watakufurahisha usipokuwa makini mkuu

Watakufanya umpongeze mtu aliyejenga chumba kimoja mwenyewe na wewe uliyenunua nyumba nzima ukajiona hamnazo
 
Kama unaangalia gharama nunua we tegea mtu ana madeni ya benki au kafilisika na Kwa uchumi huu wa buluu ziko nyingi.. shida wanazindika mno kwenye nyumba hizo kuna mdau kasema utanunua upewe majini kama nyongeza bonus.
 
Back
Top Bottom