kioo

  1. K

    Natafuta Kioo Cha Lenovo think pad model X260

    Jamani nani anakioo cha laptop aina ya Lenovo, Think Pad model X260. Cha laptop yangu watoto walidondosha so kimepata hitirafu
  2. M

    Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  3. T

    Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  4. Mpinzire

    Mwenye kioo cha Samsung S10+ Super Amored kuna Tsh 200,000/= Cash

    Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa. Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu. Ofa yangu ni Tsh 200,000/= Location ni Dar es Salaam - Ilala -Kariakoo Namba ya simu 0622 901670
  5. ankol

    Kioo kujishusha

    Habari zenu wadau, Gari yangu baada ya kutoka kwa fundi maiko nimegundua kwamba nikipandisha kioo cha upande wa dereva kikifika juu hujishusha kama robo hivi. mpaka ufanye timing ya kupandisha kidogo jidogo. Nilipomrudia kanipa stori nyingii ikiwamo gari kupoteza kumbukumbu. akanihakikishia...
  6. kavulata

    Simba msivunje kioo, naweni uso vizuri

    Nimemsikia mtu mmoja akitoa hoja ya kushitaki mahakamani mabango yaliyowekwa na Yanga barabarani. Ukweli ni kwamba aliyeyaweka haya mabango inaitakia mema Simba kuliko huyu anaetaka mabango yapelekwe mahakamani; haitakii mema Simba, Mabango ya Yanga yalipaswa kuisaidia Simba kutafuta wapi...
  7. Surya

    Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
  8. Mwande na Mndewa

    Maharage Chande ni kioo chetu

    Nikiwa ndio nimeajiriwa NBC mwaka 2008 kuelekea 2009 kwenye mkutano mmoja NBC MD's road tour, nilimsikia mtu mmoja anahutubia anasema "Mtaimba sana Solidarity forever lakini mtabaki hapo hapo,Mimi nimeomba nafasi ya COO wa NBC nimeitwa kwenye interview nimekutana na makaburu tu hakuna Mtanzania...
  9. CAPO DELGADO

    Hongera Chama kioo cha Soka la Bongo. Utakuwa ukilinganishwa na kila Mchezaji ajaye. Chama babalao

    MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu. Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa...
  10. albab

    Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro

    Kwema MKUU.... Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro Njoo DM Kwa biashara.
  11. M

    SoC03 Sanaa na wasanii: Je wasanii wetu bado ni kioo cha jamii?

    “Mimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi hizo nilikuwa nasoma pale Shule ya Msingi Zanaki, Kata ya Upanga Mashariki. Wimbo huu uliimbwa na...
  12. H

    Wapi napata kioo cha smart tv brand ya tcl google TV 32 inch?

    Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.
  13. Dr. Zaganza

    Natafuta kioo used cha samsung note 9

    Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
  14. Podcast

    Msaada bei ya kioo cha PC

    Wakuu, Habari naomba msaada kujua bei ya kioo ha Pc pamoja na charge yake ni HP.
  15. B

    Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

    Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako. Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi. Tujue kwanza kioo hutengenezwa na...
  16. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
  17. B4g3g3

    Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
  18. Poker

    Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

    Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro. Nimechukua mahitaji yangu ambayo niliambiwa lazima uwe nayo, yaani kichana, tufani na kioo. Mimi nikaongeza mishumaa, uwaridi nyekundu na...
  19. T

    Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  20. Hemedy Jr Junior

    Funika kioo wakati wa kulala usiku

    1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku. 2...
Back
Top Bottom