Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

Dec 13, 2023
30
106
Habari wakuu,

Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector.

Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja.

alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili.

Sasa wasiwasi wangu ni je ikitokea fundi kapotea na simu yangu au akanigeuka, msaada gani wa kisheria naweza pata? au nifate mlolongo gani?
natanguliza shukrani wakuu.
 
Sijui simu brand ya Samsung huwa mnazipendea nini haswa, maisha yangu yote sijawahi hata kuwa na wazo nitakuja kununua simu za Samsung.

CHANGAMOTO:

Zina vioo laini/rahisi kupasuka ilihali gharama za ununuaji wa vioo vyenyewe ni 50% ya gharama za simu zilizonunuliwa na Wateja & Uimara wa betrii ni 0 kabisa kukaa na chaji kwa muda mrefu.

UBORA:

Camera nzuri & Internet access ziko vizuri.

UBORA WA BIDHAA ZINGINE ZA SAMSUNG:

Friji, Smart TV.

NB:

Kuhusu utaratibu wa kutengenezewa kioo cha simu yako na Fundi simu wanakuja Wataalamu wenyewe wa sheria.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni fundi Michael, samehee saba mara sabini,lakini kama ni fundi kutoka kampuni ya Samsung buruza yeye na kampuni yake mahakamani na fidia juu!!
 
Sijui simu brand ya Samsung huwa mnazipendea nini haswa, maisha yangu yote sijawahi hata kuwa na wazo nitakuja kununua simu za Samsung.

CHANGAMOTO:

Zina vioo laini/rahisi kupasuka ilihali gharama za ununuaji wa vioo vyenyewe ni 50% ya gharama za simu zilizonunuliwa na Wateja & Uimara wa betrii ni 0 kabisa kukaa na chaji kwa muda mrefu.

UBORA:

Camera nzuri & Internet access ziko vizuri.

UBORA WA BIDHAA ZINGINE ZA SAMSUNG:

Friji, Smart TV.

NB:

Kuhusu utaratibu wa kutengenezewa kioo cha simu yako na Fundi simu wanakuja Wataalamu wenyewe wa sheria.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sio kweli bwana. Kioo cha samsung mpaka kivunjike kinakua kimeshapitia misukosuko mingi mpaka kinasema sasa basi.
 
1. Pole sana.
2. Ukiona fundi mnaanza kutishian a kupelekana police jipange kusamehe.
3. Siku nyingine nenda kwenye big shop ununue protector unahimishia risk kwa fundi ambaye anadhamana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom