Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

B4g3g3

New Member
Apr 5, 2022
3
3
Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi



 
Sidhani kama huyo ndege anaweza kuvunja hicho kioo labda kama angekua kunguru au mwewe ndio wangevunja. Na hiyo inatokea kwasababu ume distarb mazingira yao hawajazoe kuona vioo ila kadri muda unavyoenda watazoea.
 
Mimi dirisha la jikoni deile, tangu waanze kudonoa hawajafanya uharibifu wowote kama mikwaruzo au vinginevyo.
 
Duh, ni wiki 3 zilizopita fundi wangu alinishauri nisiweke kioo aina hii sababu ndege watasumbua sana. Kiukweli sikumwelewa, ila nimeelewa. Asante fundi
 
Back
Top Bottom