Hayo si maneno ya busara toka kichwani kwangu bali toka kwa mwanamuziki Hayati Lucky Philip Dube.
Anasema "Inaonekana kama vile kila kitu kilitokea jana tu" anaendelea kusema "Machozi hayawezi kuleta furaha bali furaha inaweza kuleta machozi"
Hapa anamaanisha nini? Kulia sababu ya jambo lolote...
Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite
Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei
NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
Je una laptop iliyovunjika kioo
Nina laptop mbili za Dell inspiron 15
Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee.
Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6)
bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia
pia nina keyboard nzimaaa
Keyboard nauza 40,000...
Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo"
Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11)
Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.