kioo

  1. j_h_kirigini

    INAUZWA Friji ya kioo (milango miwili) - biashara ya vinywaji

    bei yake: 1.2 milioni sehemu: ukonga, g.mboto namba ya simu: 0764 509226 risiti yake ipo. gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
  2. aleesha

    Kwanini Rwanda ndio kioo cha Watawala Afrika Mashariki na Kati?

    Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi. Ama kwanini Rwanda kioo na kigezo watawala na viongozi waandamizi katika serikali za afrika mashariki na Kati...
  3. F

    Mlevi kaokota kioo

    Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki 🤣🤣😂😂😂😂😂
  4. T

    Mimi ni Msanii, Kioo cha Jamii by Maria Suriano

    Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza. Angalia attachment (kiambatisho) cha PDF Baadhi ya dondoo ya mkusanyiko wa kazi ya Maria Suriano Rapper Kalapina...
  5. W

    Natafuta kioo cha samsung A70

    Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
  6. Kaveli

    Ufa kwenye kioo cha gari (cracked windshield). Je, kuna repair ya uhakika?

    Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka) Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena? -Kaveli-
  7. T

    Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

    Wana JF, Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA. Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
  8. M

    Polepole, Bashiru na timu zao bado hawaamini kilichotokea

    Na. CM 1774858. 1. Jana trh 28|05|2021|1:26Pm nikiwa Ofisi za CCM Lumumba nikimsubiri Katibu wa Itikadi na Uenezi Comred Shaka Hamdu Shaka walifika Wasanii kadhaa akiwemo Diamond Plt, wote kwa pamoja wakiwa na shida ya kuonana na Ndg Shaka Hamdu Shaka,Muhudumu akawaomba wamsubiri kama...
  9. IBRA wa PILI

    Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

    Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane. Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
  10. M

    Nauza kioo cha monitor desk top 40,000

    Kioo ni kipya hakijatumika nilikinunua kwa ajili ya kufanyia shughuli fulani lakini nimebadili mipango. Simu 0672028920
  11. C

    Tatizo la simu kuweka Mistari kwenye kioo

    Wakuu, habari za Asubuhi Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea. Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari naona kama inaondoa muonekano mzuri wa simu.
  12. Nukta5

    Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

    Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
  13. Koffi Annan

    Natafuta kioo cha laptop DELL latitude 3330

    Kama kuna mwenye nacho tafadhali pesa yako ipo
  14. J

    Kioo cha Samsung S8+

    Natafuta mtu anayeweza kuniuzia kioo cha Samsung S8+ nna 230k
  15. joto la jiwe

    Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

    Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na...
  16. Mgalula MzTz

    Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
  17. T

    Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  18. Jitu Kabeja Diggala

    Kioo cha TV aina ya ZEC 24"

    Mambo vipi wadau, kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo. Asanteni,nawasubiri wakuu
  19. hp4510

    Nahitaji kioo cha Hisence TV inchi 55

    Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55 Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm Niko Dar es Salaam
  20. Arch Mnyaheru

    Mwenye kioo cha Samsung A20 used nakihitaji. Nina Tshs. 100,000/=

    Habari wanaforum, Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=. Nipo Dar es salaam Kinondoni. Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo. Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
Back
Top Bottom