kioo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  2. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Funika kioo wakati wa kulala usiku

    1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku. 2...
  3. Chura

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

    Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
  4. nyemenowa tindamanyile

    JamiiForums Tanzania TV yangu (TCL) ilipata hitilafu ya kioo kupata wingu linalokera

    Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana Mafundi, je lina utatuzi?
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  6. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la kioo la Aluminum 120K

    Nauza kabati la aluminium la kioo. Bei Tsh 120K Ukubwa wake. (77,65,37cm) Mahali : Dar Simu no:0658 106 630 Utakuwa umeokoa 40% ya gharama yakutengeneza kabati jipya.
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

    This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu. Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
  10. Mr_S

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Hp laptop ya 500GB HDD, 4GB RAM na kioo inchi 15.6 inauzwa

    Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana. -> Kioo kina ukubwa wa inchi 15.6 -> RAM ni 4GB -> Hard disk yake ni 500GB -> CPU ni duo core ya 1.6Ghz -> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia) ->Bei...
  11. kagombe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha Tecno K7

    Tecno K7 mwenye kioo aje tuyajenge zingatio me ni fundi bei isiwe ya shop
  12. Kulupango

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza ya kioo ya watu 6 na viti vyake inauzwa laki moja

    .
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  14. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
  15. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  16. Dansel

    JamiiForums Tanzania Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
  17. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya kioo cha PC Used

    Kuna Pc ina zingua kioo naomba kujuzwa bei ya kioo ised ktk haya maduka ya kkoo
  18. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA kitanda na meza ya kioo vinauzwa bei sawa na bure.

    kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000. vipo dar mbagala sabasaba . 0657 623266 0694185384
  19. Saad30

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiangalia kwa muda mrefu kwenye kioo?

    Habari nyingi kwenu. Huwa nafanya jambo hili sana ila sijui nini maana yake... Kuna wakati naamua kuitazama sura yangu kwenye kioo kama sekunde 30 hadi dakika moja baada ya hapo naona sura inabadilika na kuwa ni sura ya kutisha sana.. Wakuu sasa naomba mwenye uelewa wa hili jambo anijue na...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kuweka TINTED Kioo cha gari cha mbele!

    Watu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka...
Back
Top Bottom