kioo

  1. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  2. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Pale unaponunua kioo kimeandikwa Sundar au Aborder

  5. robertmpumilwa

    JamiiForums Tanzania Kioo cha Pixel 7 pro kinahitajika

    Wakuu mwenye kioo cha pixel 7 pro used au mpya nahitaji kununua. Anicheki kwa 0624373709
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Finance Manager at Kioo Limited September 2024

    Job type: Full-time Position: Assistant Finance Manager Company: Kioo Limited Department: Finance Job Location: Administration Office Qualification: CPA/ACCA with minimum 10+ years of experience in manufacturing industry Reporting to: Finance Controller Job Description :Overview of...
  7. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kuota ndoto ya kioo kilichopasuka

    Habari wakuu Ndoto zinaweza kuwa na umuhimu kwa watu fulani na wengine hapana, hivyo Kila mtu yupo upande anaoamini. Usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo nusu uchi natembea nikipishana na watu nikaelekea mahali kuchukua kioo nilikua nimekua nikakuta kimevunjika nusu kipo chini nusu nikabaki nacho...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

    Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
  9. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  10. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  11. B

    JamiiForums Tanzania Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

    Imepita miaka 30 ya mahangaiko na watu wenye kununulika. Bado tu nini hakijaeleweka? Kwamba ni ubinafsi kwenda mbele hoja zero? Yaliwakuta kina Mrema na pia kina Maalim Seif. Hao wakalazimika kushusha na kupandisha tanga. Zilizokuwa NCCR na CUF zikageuka Chausta. Kwamba binadamu ni viumbe wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuweka tinted kioo cha mbele cha gari

    Katika mazingira ya kawaida kuweka tinted sio tatizo na yapo baadhi ya magari huuzwa yakiwa nayo kutokata na kazi ya msingi iliyokuwa inafanywa na gari husika Ila sasa huku ULIMWENGU WA TATU imekuwa changamoto pale watu wenye nia ovu wanapotumia huo mwanya kufanya uhalifu Mfano: 1. Watekaji...
  14. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi nitapata kioo cha rising tv inch 43 MWANZA?

    Habari wakuu nahitaji KUjua ni wapi naweza kupata kioo cha tv maeneo ya Mwanza!?
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

    Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na kufikiri vyema anaona wazi kabisa kuwa chama hiki kilichopata kujizolea umaarufu na kuwa na...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  17. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kioo cha Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
  18. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  20. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
Back
Top Bottom