Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Cute Msangi

Member
Apr 11, 2023
79
221
Habari zenu Wana JamiiForums,

TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.

Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es salaam.

TV hisence inch 43.
 
JE TV GANI IKIHARIBIA KIOO NI BEI RAHISI, WAKUDA NISAIDIENI
 
Back
Top Bottom