kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza. Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
  2. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama. 3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
  3. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na CHAUMA, Hashimu Rungwe ni kiongozi mwenye maono na hekima atawavusha

    Katika watia nia wa kugombea urais na walioteuliwana kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao, kwa vyama vilivyo vya dhati vya kuwa na upinzani mkuu katika uchaguzi wa mwaka huu, Chama cha CHAUMA, kupitia mgombea wake Mhe. H. Rungwe, ukimsikiliza vizuri anapopita huku mikoani kwetu...
  4. El Roi

    JamiiForums Tanzania Kutambuliwa rasmi kwa kiongozi rasmi wa upinzani(official opposition leader) kutafanya nchi itulie na kutoa fursa ya mchango walau sawa

    Baadhi yetu tumetoa michango hapa juu ya umuhimu wa kurekebisha mifumo inayoendesha nchi hii mf katiba, Sheria na mifumo ya utawala ili kujenga taifa la kisasa,linalokwenda na wakati na taifa inclusive kwa maana ya kuwashirikisha wananchi wake kujitawaka vema. Kwa mfano Ni Jambo lisilo na...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

    KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE. Na Bashir Yakub, Wakili. +255 714 047 241. Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo. Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe aponda fomu moja ya urais CCM

    Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020. Chanzo: Tanzania Daima My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?! Maendeleo hayana vyama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu yautambua waraka uliosomwa na sheikh Ponda kuwa ni waraka halali wa Taasisi hiyo

    Siku tatu baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa Katibu wa Shura ya Maimamu nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, hatima ya kupata dhamana yake bado haijulikani, amesema msemaji wa Shura ya Maimamu. Sheikh Ponda alikamatwa siku ya Jumapili baada yakuzungumza na waandishi wa habari juu ya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Abbas Tarimba achukua fomu ya kuomba ubunge Kinondoni, Usaliti wa Mtulia wafika ukingoni

    ======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
  12. tikatika

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini BAKWATA inashindwa kumpa miongozo sahihi kiongozi wa dini Sheikh Ponda?

    BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele . Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

    Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa. Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, hizi Ratiba nyingi za Kikazi na Mizunguko za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa zinazingatia pia na Kujali Afya yake kama Kiongozi Mwandamizi nchini?

    Napenda sana na mno Uchapakazi wake Waziri Mkuu wa sasa ( Awamu hii ya Tano ) Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim ila kuna mahala kama vile naona hapako sawa hasa upande wa mlundiko wa Ratiba zake nyingi ambazo zinahusisha Kusafiri kwa Gari au Ndege ndani na nje ya nchi pasipo hata Kupumzika. Je...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, pongezi zetu Watanzania kupitia kwa Mwakilishi Wetu Mmoja Kikatiba kwa Ushindi wa Kiongozi wa Upinzani nchini Malawi Chikwera utatoka Moyoni?

    Kuna Mtu Mmoja kama namuona vile na jinsi alivyo na tabia ya Hasira ( Jazba ) atakavyompongeza Mshindi wa Malawi huku akiwa amenuna balaa.
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi usiwe mbea, umbea utakuondolea heshima na uaminifu

    Uongozi ni dhamana inayokwenda na uaminifu wa pesa, na utu wa una waongoza. Watu wanapofikwa na majanga watakutaarifu ili uchukue hatua mbadala majukumu yasiyumbe na kazi kuharibika. Kuna watakao kueleza shida zao za kifedha, Kuna watakaoomba msaada wa siku kadhaa bila majukumu Kwa Sababu za...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

    Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
Back
Top Bottom