Uchaguzi 2020 Membe aponda fomu moja ya urais CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Chanzo: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama
 
Ccm tume print form 1 kwa ajili ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kwa anayetaka aende akatoe kopi kwa mheshimiwa rais☺☺
 
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Source: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama
Toa maelezo yanayojitosheleza mtu kuelewa habari
 
Mods naomba mrekebishe heading isomeke CCM!

Una kila dalili ya kuvutiwa na Chadema! Haiwezekani habari inahusu Membe na Ccm, lakini wewe uitaje Chadema. Natamani hao Mods wasiibadili hiyo heading yako ili ndugu zako wa Lumumba waone ni kwa namna gani unavyo datishwa na midundo ya mtaa wa Ufipa.
 
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Source: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama
Huyu mpuuzi kweli kweli, yeye mwaka 2010 alikuwa mstari wa mbele kumshawishi Rostam amwambie Lowassa asichukue fomu amwachikie Kikwete amalize miaka 10. Leo anapigia debe mambo aliyoyapinga mwenyewe.

Hawa wana nia zao ovu tu wala sio utashi wa kutumikia wananchi
 
Msimshangae huyo...ccm wanaiwazia CDM kuliko wanavyokiwazia chama Chao...wanapata Tabu sanaaa
 
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Source: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama

Fomu ya u rais haiwezi Kuwa page moja! These people are not serious!
 
Back
Top Bottom