Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,401
1597898569997.png

Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui.

Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake. Tukio hilo limetokea asubuhi baada ya kurejea Moswoe akitokea Tomsk

Madaktari wamesema kuwa sumu hiyo imemuathiri kwa haraka kwa sababu iliwekwa kwenye kimiminika cha moto (Chai). Hii ni mara ya pili kwa Alexei kupewa sumu baada ya tukio kama hili kutokea mwaka jana.

======

Alexei Navalny, the prominent Russian anti-corruption activist and outspoken critic of Vladimir Putin, was reportedly “poisoned with a toxin” and rushed in an unconscious state to the hospital on Wednesday night, according to his press secretary.

“This morning Navalny was returning to Moscow from Tomsk. On the flight he started feeling ill. The plane made an emergency landing in Omsk. Alexei has been poisoned with a toxin. Right now we’re in an ambulance on the way to the hospital,” tweeted press secretary Kira Yarmish, who later said her boss was in the ICU.

“We assume that Alexei was poisoned with something mixed into his tea. That was the only thing he drank this morning. The doctors say that the toxin was absorbed more quickly because of the hot liquid. Right now Alexei is unconscious,” she added. “A year ago, when Alexei was in a detention center, he was poisoned. Obviously, now they’ve done the same thing to him again.”

Last July, during one of Navalny’s stints in prison, he fell ill—raising questions about whether he had been poisoned. A jail staffer told the opposition leader’s wife, who had arrived for a visit, that an ambulance had rushed him to the hospital with “some kind of strong allergic reaction” that caused his eyes and face to turn red and swell up.

“We are extremely worried about Alexei, it could be some chemical agent sprayed in his cell or on his bed,” Yarmish told The Daily Beast at the time. In October, the Kremlin designated the nonprofit group founded by Navalny, the Foundation for Fighting Corruption, as a foreign agent—a move seen as an effort to hinder its activities. That was just weeks after police special forces raided the group’s offices and seized computers and other items.

Navalny, who had been jailed dozens of times over the previous decade, filmed video of his lawyers coolly playing soccer in the office, cementing his nerves-of-steel reputation. “We are fearless and unstoppable, no matter how harsh the pressure is from Putin’s thuggish government,” Navalny had told The Daily Beast earlier in the year.

The alleged poisoning comes just weeks after Navalny leveled corruption accusations against Svetlana Radionova, a Kremlin environmental inspector, citing documents that tied her to luxurious real estate in Moscow and Nice. “Such wealth cannot be explained. It is so outrageous,” Navalny said in a report on YouTube, which was viewed by more than 3 million people.

Source: Daily Beast
 
Putin ameishafanya yake,
Bora Putin anawatuliza wapinzani wake ambao wanaungwa mkono na Nchi za magharibi,ambao wanaweza kutumika kuihujumu Urusi kama ilivyotokea Kwa Boris Yeltsin,sasa hapa bongo,Mkazi wa magogoni,anauwa wapinzani ili abaki madarakani,sio kwa ajiri ya kuikuza nchi kama anavyofanya Putin,huyu anaua ili ale na kikundi chake,kabila lake,basi,
 
Ngoja tuone hao wanaojiita jumuia za kimataifa watafanya nini kwa mwamba Putin.
maana kuna watu ukiwafinya kidoogo wanajivunia jumuiya za kimataifa.
 
Watawala hawataki kukoselewa washindwe upumbavu wao usiende kwenye nchi nyingine za ujamaa.
 
Nchi zenye asili ya Ujamaa wana ujinga mkubwa wa kutopenda kupingwa.

Urusi, China, N. Korea, Tanzania, Cuba.
Nimewahi kusikiliza mara kadhaa mahojiano ya vyombo vya magharibi na hao jamaa MF.huyo aliyetiliwa sumu na yule aliyeuawa nje ya Klemlin mwaka juzi..yupo mmoja mwingine nimemsahau jina na aliwahi kuwa waziri wa zamani wa Urusi aisee...

Ukiwasikiliza wanachoongea ni ngumu ni ngumu FSB kuwaacha wakiwa hai..dah utadhani hawajazaliwa au sio raia wa Urusi.
Ishu sio kuipinga serikali ya Urusi au Putin..bali kupingana na sera ya mambo ya nje ya Urusi ambayo kwao ndio national survival ya nchi hiyo ukizingatiwa ilivyozingirwa na maadui..aisee.

Wapo wapinzani wengine wakubwa wa serikali na Putin..lakini hawapingani na national interest za nchi.

Nchi kama urusi huwezi huwezi huwezi kuwa rafiki wa nchi kama Marekani..Uingereza etc against serikali ukaishi ni ngumu mno mno mno..nalaani mno unyama na mauaji..Ingawa na ajabu hao Wanaopatwa na hayo wanayajua fika yatakayowapata.

Ebu fikiria yule aliyeuawa mwanzo nchi imetwaa Crimea kuiwahi Marekani within ours walikuwa wanaichukua hiyo penusula baada ya kumpindua rais wa Ukraine Victor Yanukovich..lengo na majeshi ya marekani kuweka ngome hapo na ndio ingekuwa mwisho wa historia ya Taifa linaloitwa Urusi.
Halafu imagine ilikuwa nusra tuingie vita ya maangamizi ya ulimwengu 2014..halafu ndani ya nchi mtu anawasapoti hao Marekani na kutaka Crimea irudishwe sijui alitarajia nini..

Fuatilieni mahojiano ya hao watu hata youtube tuu..aisee ni hatariii sana sana sana..
Mtu anayeelewa why Russia iliingilia kati Syria isitekwe na magharibi...halafu ndani ya nchi wakapatikana watu wanasapoti upande wa magharibi aisee sijui.
 
Anaitwa Boris nemtsov alikuwa mpinzani mkubwa sana wa bwana Putin.alifanyiwa mauwaji katika daraja la kremlin(karibu kabisa na Ikulu ya Urusi).
Masaa ma 4 kabla ya kifo chake alifanya interview na kituo cha habari,aliongea mambo mazito sana kuhusu Putin.
 
Ngoja tuone hao wanaojiita jumuia za kimataifa watafanya nini kwa mwamba Putin.
maana kuna watu ukiwafinya kidoogo wanajivunia jumuiya za kimataifa.
Zaidi ya kuishia kubweka tu hakuna watakacho weza kumfanya hata kumnyooshea kidole tu hawawezi
 
Putin ameishafanya yake,
Bora Putin anawatuliza wapinzani wake ambao wanaungwa mkono na Nchi za magharibi,ambao wanaweza kutumika kuihujumu Urusi kama ilivyotokea Kwa Boris Yeltsin,sasa hapa bongo,Mkazi wa magogoni,anauwa wapinzani ili abaki madarakani,sio kwa ajiri ya kuikuza nchi kama anavyofanya Putin,huyu anaua ili ale na kikundi chake,kabila lake,basi,
Umesahau kua alie pigwa risas alikua anashiriki kuiba Madin yetu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nimewahi kusikiliza mara kadhaa mahojiano ya vyombo vya magharibi na hao jamaa MF.huyo aliyetiliwa sumu na yule aliyeuawa nje ya Klemlin mwaka juzi..yupo mmoja mwingine nimemsahau jina na aliwahi kuwa waziri wa zamani wa Urusi aisee...

Ukiwasikiliza wanachoongea ni ngumu ni ngumu FSB kuwaacha wakiwa hai..dah utadhani hawajazaliwa au sio raia wa Urusi.
Ishu sio kuipinga serikali ya Urusi au Putin..bali kupingana na sera ya mambo ya nje ya Urusi ambayo kwao ndio national survival ya nchi hiyo ukizingatiwa ilivyozingirwa na maadui..aisee.

Wapo wapinzani wengine wakubwa wa serikali na Putin..lakini hawapingani na national interest za nchi.

Nchi kama urusi huwezi huwezi huwezi kuwa rafiki wa nchi kama Marekani..Uingereza etc against serikali ukaishi ni ngumu mno mno mno..nalaani mno unyama na mauaji..Ingawa na ajabu hao Wanaopatwa na hayo wanayajua fika yatakayowapata.

Ebu fikiria yule aliyeuawa mwanzo nchi imetwaa Crimea kuiwahi Marekani within ours walikuwa wanaichukua hiyo penusula baada ya kumpindua rais wa Ukraine Victor Yanukovich..lengo na majeshi ya marekani kuweka ngome hapo na ndio ingekuwa mwisho wa historia ya Taifa linaloitwa Urusi.
Halafu imagine ilikuwa nusra tuingie vita ya maangamizi ya ulimwengu 2014..halafu ndani ya nchi mtu anawasapoti hao Marekani na kutaka Crimea irudishwe sijui alitarajia nini..

Fuatilieni mahojiano ya hao watu hata youtube tuu..aisee ni hatariii sana sana sana..
Mtu anayeelewa why Russia iliingilia kati Syria isitekwe na magharibi...halafu ndani ya nchi wakapatikana watu wanasapoti upande wa magharibi aisee sijui.
Si wapo watu hata apa wanashindwa kupambana na ccm wanaamua Kuichafua nch ya tanzania na kuiombea nchi ipate majanga unakuta mtu anataka kua kiongoz wa nchi alafu analilia kwa mabeberu nchi uwekewe vikwazo

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Si hivyo tu kuwaachia akina Navalny taifa kubwa Kama Urusi NI kuikaribisha marekani chumbani.. Navalny si mzalendo wa kweli ataichia crimea kwa NATO , ataiachia Belarus iwe kibaraka wa us...
MTU wa hivyo haitakiwi!
Kwa mataifa makubwa sera zao sio maji na madaraja na madawati wao suala la kupambana na great powers internationally NI ufahari na umwamba
 
Back
Top Bottom