Bukoba. Mwili wa Jaspar Jasson, aliyekuwa katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Katoke Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera umekutwa pembeni mwa barabara ukiwa na alama shingoni.
Akizungumza leo Jumanne Februari 18, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi...
Baada ya Kikwete kuondoka kiongozi wa EAC kwa wenzetu wanamwona ni Kenyatta. Magu jitahidi kuchukua nafasi hii Kenyatta akiondoka. Kikwete alijitahidi na kuheshimiwa sana. Sasa mambo ya nje tumebaki na vikwazo kila siku hakuna hata statement ya kinachoendelea
Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha.
Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza...
Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia.
Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Ni Abu Abdul Bari ambaye alikamatwa nchini Iraq na kubebwa na lori kutokana na kuwa na uzito mkubwa wa kilo 250.
Mosul, Iraq. Kiongozi wa kundi la wapiganaji la Islamic state (IS), Abu Abdul Bari amekamatwa nchini Iraq.
Kiongozi huyo amekamatwa leo Jumatatu Januari 20 na kubebwa na lori...
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.
Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu.
Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
Rose Sarwatt ambaye ni kiongozi wa Shirika la Wajane Tanzania (TAWIA), amefunga pingu za maisha na mchumba wake Haron Mpole kwenye kanisa la SDA Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Amekaa upweke kwa miaka 11 baada ya kufiwa na mumewe.
Waziri wa TAMISEMI Mh. Jaffo amesema hatashangaa endapo mkuu wa wilaya ya Kisarawe mh Joketi atapandishwa cheo kwa sababu ndiye DC anayeongoza kwa kuchapa kazi kuliko wakuu wa wilaya wote Tanzania.
Mh Jaffo amesema ameamua kuyasema hayo kwa sababu yeye siyo mnafiki kwani wanafiki wana tabia ya...
Wanabodi,
Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?.
Jee wanawake wetu Tanzania ni duni au dhaifu Kiongozi wa siasa?. Kama wanawake wetu si duni na si dhaifu na...
Salamu!
Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani?
Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.