kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi: Kiongozi anayetafuta kuongoza nchi hawajibiki kwa waliompigia kura tuu bali na kwa Mungu pia

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar. Amesema ili kutokomeza vitendo vya ubaguzi visiwani humo, lazima akiri na kukubali kuwa vitendo hivyo vipo, kisha achukua...
  3. Securelens

    JamiiForums Tanzania Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

    Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia Watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa. Sasa majibu yake haya hapa: 1. Hajatoa ajira...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

    "Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt Charles Mahera, Mkurugenzi Mkuu-NEC. Mahera na Sirro nyie sio wanasiasa mnatakiwa muongozwe na...
  6. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR-Mageuzi imemsimamisha uanachama kiongozi Jimbo la Kawe

    BREAKING NEWS: Aliyekuwa Katibu wa NCCR-Mageuzi Jimbo la Kawe na mgombea wa Udiwani kata ya Mbweni ndugu Juma Anthony Ndaigwa amesimamishwa uanachama na kuvuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama kuanzia sasa.
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndio orodha ya watu watakaompigia kura Magufuli

    Habari za leo watanzania wenzangu, Natumai mu wazima wa afya njema. Leo nitatoa orodha ya watanzania watakao mpigia kura Magufuli siku ya oktoba 28. Naomba ufuatane na mimi ili upate kuelewa vizuri kama hujui. Basi yafuatayo ndio makundi ya watu hao. 1. Watu wenye akili timamu, wanaojua...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ajibu tuhuma za baadhi ya wanasiasa kujimilikisha ardhi. Asema umilikishwaji hufanyika kwa kuguata sheria na hakuna kiongozi aliyejimilikisha a

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekanusha vikali kauli iliyotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa kuna baadhi ya viongozi wamepora ardhi ikiwemo ardhi ya eneo la Mbarari mkoa wa Mbeya na kusisitiza kuwa kati ya viongozi waliotuhumiwa hakuna hata...
  10. abagabo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Watano wahukumiwa na kupigwa risasi kwa kumkosoa kiongozi wa Korea Kaskazini, kule huwa sharti kila mmoja aimbe mapambio ya misifa

    Hii ilikua baada ya kuskika wakipiga stori za kijiweni huku wakikosoa baadhi ya sera za sasa na kushauri mabadaliko kwenye viwanda, hawakujua mashushushu walikua wanawasikliza, baadaye walikamatwa na kuhukumiwa kifo na familia zao zikakamatwa na kufungiwa kwenye kambi za kijeshi. Kim huwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza aitaka NEC isitumike kudhulumu Watanzania

    *Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:* NEC WAHURUMIENI WANANCHI NEC WAHURUMIENI VIONGOZI. Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu. 1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  14. James Martin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiona kiongozi anaanza ku wa "blackmail" Wananchi ujue maji yamemfika shingoni

    Siku chache za nyuma nilimsikia mgombea wa urais wa CCM akiwaonya wapiga kura. Aliwaambia kwamba wasipomchagua mgombea wa CCM watakosa maendeleo. Pia alisema kwamba sababu iliyofanya eneo lao kukosa lami ni kutokana na wao kumchagua mbunge wa upinzani. Kutokana na kauli hizo kuna mambo mawili...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Wakuu natumai mu wazima wa afya. Kama mada inavyokuja ni huku kumlaumu baba yetu, kumbe huku chini kuna watoto hawawajibiki vizuri maagizo ya baba yao. Ni hivi huku Wilayani Mbarali mjini Rujewa watu waliandikwa majina mwezi wa tano ili serikali ije itoe msaada wa vyandarua au net lakini cha...
  16. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  17. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtoto wa kiongozi ambaye amesoma halafu ni jobless?

    Habari wanaBodi. Nilikuwa nafanya study Fulani hivi juu ya masuala ya ukosefu wa ajira, nikajikuta nawaza je kuna uwezekano mtoto wa kiongozi mfano (Rais,makamu wa rais,waziri mkuu,mawaziri,makatibu wa wizara,majaji,katibu mkuu kiongozi,wakurugenzi wote) ambao wamesoma degrees, diploma, masters...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

    JE, WAKATI UMEFIKA WA MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY-SCHOOL NA GWAJIMA? Na, Robert Heriel Miaka mitano nyuma, naam mwaka 2015 Gwajima alionyesha dhamira yake na ndoto yake kubwa ambayo alitanabaisha kuwa anatamani Misikiti kuwa Sunday- School za watoto wa Kikristo, pamoja na masheikh na maimamu...
  20. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

    Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei ambaye amejipambanua kama mwanaharakati wa kupinga rushwa amewekewa sumu hiyo kwenye chai yake...
Back
Top Bottom