kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watoto wawili wa Kiongozi wa Kijiji cha Kipengele wauawa kikatili

    Vijana wawili wa familia moja wameuawa kikatili kwa kupigwa na vitu vizito kichwani usiku wa kuamkia april 27 katika kijiji cha Kipengele kilichopo wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe Akizungumzia tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema vijana waliouwawa ni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kiongozi wa Nchi kutofautiana hadharani na watu wake

    Mimi napenda kuongea pasipo mtaja awaye yeyote ila kuweka kumbukumbu vizuri. Awali ya yote namshukuru Mungu nipo hai na kuwa na bahati kuona tawala zote tano. Ndugu zangu Watanzania nikiwa kama Raia wa taifa hili aka mzawa napenda kuwaambia tuzidi kusali tena tusali sana lipo jambo hatulioni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukiumwa na kutengwa hakuna kiongozi wa dini atakuja kukuona

    Wale wabishi wajue tu kwamba ukipata Corona unawekwa sehemu ya kutengwa na kupewa chakula. Hapo ni wewe na Mungu wako wale viongozi wa dini ambao walikwambia usiache kwenda kule kusaliwa watakushauri ujiombee mwenyewe, wale manabii hawatakuja kukuona wale mashehe wa mskitini watakukimbia kama...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona . Lakini...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa / Kiongozi mkubwa kutoa ' Tamko ' pasipo ' Ukomo ' wake ni Kiashirio cha Uweledi wake au Kupotoka Kwake?

    Viongozi wengi wa Mataifa mengi ( Barani Afrika, Ulaya, Marekani na hadi Asia ) nimeona wakiweka Ukomo katika Matamko yao hasa juu ya hili Janga baya la CORONA ( COVID-19 ) ila nasikitika Viongozi wa Mataifa mengine wamekuwa wakitoa tu Matamko yao pasi na Kuwaeleza Wananchi ni lini kutakuwa na...
  6. Emory Andrew Tate

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

    umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
  7. cantona55

    JamiiForums Tanzania Tabia unazotakiwa kuwa nazo ili kuwa kiongozi bora kazini

    Tafiti zinaonyesha kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea kwa kiasi kikubwa, tabia za mtu mwenye dhamana ya kufanya maamuzi yanayohusu wafanyakazi wa taasisi husika. Kiongozi akikosa sifa, ni vigumu walio chini yake kufanya wajibu wao. Migogoro, kutokuelewa, hujuma, utegeaji, kukosa hamasa ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Upinzani iliyozuiwa Bungeni leo Aprili 01, 2020 hii hapa (Full Text)

    Spika Ndugai amesema... Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana kuiandika pamoja isingefika hapa, mimi siko hapa kutetea chochote. Kulifanya Bunge kuwa mahala pa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Kimbe akabidhi ofisi ya umeya Iringa, Mkurugenzi wa manispaa ampongeza na kusema ni kiongozi makini aliyewajali wananchi

    Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa leo amekabidhi ofisi na gari mbele ya mkurugenzi wa manispaa hiyo na watumishi wote wa manispaa. Kimbe amesema ameachia madaraka ya umeya kwa moyo mweupe ili vikao vya baraza la madiwani viendelee kufanyika na wananchi kupatiwa maendeleo. Kimbe amewataka...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa. Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hili ni wazo bora la kiongozi kuliko kuweka watu karantini kwenye hoteli za nyota nne tena kwa gharama zao

  12. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Eti nyimbo ya ''Usimchezee Chatu'' inamzungumzia kiongozi fulani wa nchi?

    Hii nyimbo nilikuwa naisikia nikiwa mdogo,kwa akili yangu nikaelewa kama anaimbwa chatu kweli kwani ni mnyama hatari tuliambiwa anameza watu Lakini leo hii nimesisikia tena lakini mashairi yake yanaonyesha kama haimbwi chatu kweli, ni kama anaimbwa mtu ambaye anapoteza watu maana kuna sehemu...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polepole wa enzi zile akizungumzia sifa za Kiongozi bora

  14. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani, Freeman Mbowe ametengwa au amejitenga?

    Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake. Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili. Leo mh Mbatia katimba Ikulu. Mzee Lowassa akiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi anayekumbuka kama mpaka wa Tanzania na Malawi umehamishwa?

    Wanajamvi kwa kumbukumbu zangu ni mwaka wa nne sasa tangu uzi wa namna hii uletwe hapa jamvini kama nitakosea mnirekebishe lakini jambo muhimu ni maudhui ya uzi huu. Mpaka wetu ulioachwa na Hayati Baba wa Taifa umehamishwa kinyamela na viongozi woote hasa Mawaziri wamelala bila kushughulikia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

    Wakati kuna kundi nchini linapinga kila jambo ambalo linaonyeshwa kufanywa na mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Makonda, leo ninajitokeza kumtetea na kuwaambia kuwa huyu ni kijana shujaa. Ifahamike ili mtu kuitwa shujaa lazima awe amefanya jambo ambalo linabeba kila nukta ya uzalenzo, weredi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi asie na maarifa ya katika siasa na kuendesha uchumi, ni mzigo mzito kwa chama chake na kwa wananchi wake kwa ujumla

    Kiongozi yoyote wa kisiasa asie na maarifa ya kawaida kabisa katika kuendesha uchumi na kufanya siasa,kiongozi wa aina hiyo ni mzigo kwa chama chake, na pia watu wote aliokabidhiwa jukumu la kuwaongoza. Sometimes ni bora ukamudu/ukafanya vizuri katika uchumi kwani uchumi unaweza kukubeba...
  20. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJISAHIHISHE : Huu ni mjadala wa kutaja makosa yanayofanywa na kiongozi wa chama chako na chama kingine tuweze kupata viongozi bora mwaka 2020

    Nimehamasika kuandika uzi huu kutokana na kitabu cha baba wa Taifa Julius K. Nyerere cha mwaka 1962 kiitwacho TUJISAHIHISHE. Kitabu ni kirefu kuweza kuwekwa hapa kilichomo chote, lakini ni kifupi ukitaka kukisoma kwani kina kurasa 12 tu ktk mfumo wa kielektroniki wa PDF. Kwa muktadha wa mada...
Back
Top Bottom