Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,140
2,000
Malawi.jpg

Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa.

Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na kuondoka kabisa serikalini, Rais Chakwera amemtimua kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini huko Duncan Mwapasa na kumteua Inspekta Jenerali Dkt. George Kainja kuchukua nafasi hiyo.

Rais Peter Mutharika hakupata muda wa kufuta baraza lake la mawaziri ingawa alitakiwa kufanya hivyo siku chache kabla ya uchaguzi kama ambavyo katiba ya Malawi inamtaka kufanya. Mawaziri waliokuwa katika baraza lake wametakiwa kurudisha mali zote za serikali wanazozishikilia ikiwamo magari waliyopewa na serikali kufikia siku ya kesho kabla ya saa tano asubuhi.

Wakati huohuo, kutakuwapo na mabadiliko makubwa katika Mamlaka ya Mapato ya Malawi yanayotarajiwa kufanywa na Makamu wa Rais Dkt. Chilima ikiwa ni juhudi za kukabiliana na rushwa katika ofisi kubwa za serikali.

**** Watawala wetu wana la kujifunza****

Former president Peter Mutharika has been stripped of his immunity from prosecution and that he can now face charges, a law expert has said.

University of Malawi’s Chancellor College dean of law Sunduzwayo Madise said following legal ritual of new leader Lazarus Chakwera being sworn in as President of Malawi after winning an election rerun, the immunity has been inherited by Chakwera while Mutharika has lost it.

“And just like that by operation of the law the immunity that the former president had against prosecution and suits is gone,” Madise wrote on his Facebook wall.

Saulos Chilima, the vice-president, during Mutharika regime and remains in that position as Chakwera’s deputy, accused Mutharika of high-level graft.

Mutharika’s Democratic Progressive Party (DPP) officials were involved in numerous graft scandals including former minister Ben Phiri and Chief Secretary to government Lloyd Muhara.

With law degrees from the University of London and Yale, Mutharika left Malawi in the 1960s to settle in the United States.

He returned to the country in 1993 to help draft its first democratic constitution after the fall of Hastings Banda’s dictatorship.

Mutharika went back to the US but returned home in 2004 when his brother came to power, serving as his informal advisor.

A widower for 30 years, Mutharika has three children. In 2014 he married his second wife Gertrude Maseko, a former member of parliament.

Mutharika has been defeated by Chakwera who secured the required majority, with 58.57% of the vote, the electoral commission said.
 

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,140
2,000
NEW MALAWI PRESIDENT GETS TOUGH, 1st DAY IN OFFICE:
—————————————————-
+ FORMER PRESIDENT MUTHARIKA LOSES IMMUNITY
+ POLICE INSPECTOR GENERAL FIRED
+ MALAWI REVENUE AUTHORITY BOSS FIRED

Less than 24 hours after swearing “So Help Me God”, Malawi’s new President, Dr Lazarus Chakwera has stripped former President, Peter Mutharika of his immunity to face prosecution.
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,121
2,000
Yote hii ni chuki tu,wala si kwamba yeye aliye ingia atakua MUNGU, tena ndo anaweza kufanya nchi kua mbovu kabisa kuliko,yeye alikaa nje ya Ikulu akiitamani Ikulu na kua na chuki moyoni,hapo analipa visasi vya uchungu wa kuchelewa kwenda Ikulu kuchuma na yeye,hawanaga lolote hao wanaojiita wapinzani maana hata wao ni watu na si MUNGU, It's okay ya kwamba anapanga safu yake lakini mnadhani yeye ndo ataleta Maziwa na Asali Malawi? Jibu ni big NO
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
3,705
2,000
Manyumbu wanajifariji kupitia Malawi.
October na nyinyi mtachukua nchi chini ya mgombea wenu Rais wa JMT ajae P.Msigwa.D,,,D,,,D,,,D,,,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom