Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
 
Aliyatamka wazi kabisa kwenye tume ya Warioba
 
Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..

Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?😊 pole
 
mkilewa msiingie jf , umeona sasa ?
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa

Red Blood Cell(RBC) mbona kana kwamba umemquote KATIKATI ya maneno.......

Alikuwa anafafanua KUHUSU TUME YA UCHAGUZI NA MAMBO YAKE....
 
mkilewa msiingie jf , umeona sasa ?

Umejieleza jinsi unaona maruwe ruwe kukosa ya kumuongelea.. acha nywaji.. Unamfatilia sana.. na sasa kurudia rudia kana kwamba.. hujawahi changia mada ya hicho kideo.. huko nyuma.. lete jipya.. kwa hili umepwaya..
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
HIKI KIBABU sijui kinajisikiaje kikiwa kinaujua ukweli lakini kinajaribu kuupotosha kwa hali na mali kwa ajili ya litumbo lake, shame on him!

Aibu yake na mabwana zake
 
Ccm tangu lini wanapenda haki? Kwao Ni dhuluma tu.kama wenyewe wanachaguana kwa rushwa, itakuwaje kwa uchaguzi Wa serikali?
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake , ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe , hawa ni hasara kwa Taifa
Sinema mkuu Erythrocyte.

Wewe hujawahi kuona mwigizaji/waigizaji wakifanya mapenzi mbele za watazamaji maelfu kwa maelfu, kama siyo mamilioni?

Sasa sijui kwa nini inawawia waTanzania ngumu kuwaona hawa watu katika mwanga huo.

Lakini nirudi nyuma nikuulize swali.

Kwani ni yeye peke yake ndani ya chama hicho anayefahamika kuwa mchekeshaji?

Ukiwa makini na kutaka kuwatafuta watu aina yake ndani ya chama hicho itakuwia vigumu sana kupata walio na msimamo tofauti na huo.

Ndiyo maana nasema siku zote, sisiemu imebaki ya wapigaji tu.
 
Ni dhahiri, sikuhizi wana CCM wengi wanamlamba yesu wao ili waendelee kujipatia milo ya kujaza matumbo yao.

Watu hao (wanaCCM) ni wabinafsi sana, wanaweka matumbo yao mbele kuliko masilahi ya Taifa zima.

Watu hao wanapaswa kupingwa na kukataliwa kwa vitendo popote walipo kwa uhai wa Taifa.
tapatalk_1593268912854.jpg
 
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
Aliiponda ccm ya kikwete, Sasa hivi ni boss ccm ya Magufuli. Hizi ni ccm mbili tofauti!
 
Back
Top Bottom