Uongozi ni dhamana inayokwenda na uaminifu wa pesa, na utu wa una waongoza. Watu wanapofikwa na majanga watakutaarifu ili uchukue hatua mbadala majukumu yasiyumbe na kazi kuharibika.
Kuna watakao kueleza shida zao za kifedha, Kuna watakaoomba msaada wa siku kadhaa bila majukumu Kwa Sababu za...
Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande
Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo.
Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa...
President Uhuru Kenyatta has promised to respect his constitutional 2-term presidential limit when it expires in 2022.
Speaking during a live discussion with a US-based Think Tank- Atlantic Council- the President downplayed claims that the looming referendum would see him seek another term in...
Asilimia 80 ya abusers walikuwa abused pia. Kiongozi aliyepata tabu sana utotoni na kwenye maisha atapenda na wengine wapate tabu. Mzazi aliyechapwa Sana hadi akafanikiwa atawachapa wanawe pia Kama njia ya kutaka wafanikiwe.
Ukipata kiongozi ambae makuzi yake hayakuwa ya taabu atapenda wafuasi...
Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote.
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)
Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za...
Kama nchi kupitia Serikali yetu, ninaamini mkazo mkubwa kwa vijana wetu wanapokuwa mashuleni na vyuoni ni kuhakikisha kuwa wanajikita katika makusudi ya msingi yaliyowapeleka kwenye tassisi walizopelekwa kusoma.
Kila Mtanzania mwenye nia njema na watoto wetu (hususani wale wa kike) anao wajibu...
Nimemsoma Spika wa bunge na kugundua kuwa ni mtu anayekurupuka na kujiropokea tu bila hata kufikiri. Hii ni tabia mbaya sana kwa kiongozi wa Umma, ni tabia inayoweza kuibua mgogoro mkubwa bila sababu yoyote ile ya msingi.
Kiuhalisia kitendo cha Spika kupokea kijikaratasi chenye ujumbe na ghafla...
Naomba majibu kwa wajuzi wa haya mambo.
Ni kwamba huwa haalikwi au yeye mwenyewe (KUB Mbowe) ni mtu asiyetoa ushirikiano kwa viongozi wenzie wa kitaifa?
Ikumbukwe Mbowe siyo mbunge wa kwanza wa upinzani kuwa KUB, alikuwepo Hamad Rashid wa CUF akisaidiwa na Dr Slaa wa Chadema.
Hamad Rashid...
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.
Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:
Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa...
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini...
Kusema kweli hii ni kauli mbaya kuzungumzwa na kiongozi wa nchi kwenda kwa nchi majirani zake ambao wanakabiliana na matatizo. Ni kauli ya kuharibu na kuleta hujuma kwa nchi.
Ndugu Rais, unapotamka jua kuwa wewe ni Rais wa nchi. Hilo lazima ulielewe hivyo umakini unahitajika sana kwenye...
Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI.
Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara?
Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
Labda tumuache Rais ambaye naambiwa hawezi shitakiwa kwa muujibu wa katiba yetu ya sasa. Je kiongozi mwingine yeyote anaye dharau katiba waziwazi nini huwa adhabu yake wadau. Nataka angalau nijue .
Labda hakuna adhabu yoyote ndo maana Mr Ndugai anaikanyaga katiba mchana kweupe. Na kama Luna...
Wakuu, Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Bwana Minyenya alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu waliopeleka taarifa ya pelelezi mbalimbali za tuhuma wakati wa kukabidhi ripoti kuu ya PCCB ya...
New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi.
Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria
Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.