Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Jan 8, 2017.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

  Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

  Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

  Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

  ''Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.  ''Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
  Njaa haijaletwa na serikali''.
  Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
  Na sisi hatujengi.  ''Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020''.
  ''Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
  Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani''.  ''Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
  Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza''.


  ''Police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
  ng'oa tairi uzeni''.  ''Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
  hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure''.  Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
  =========

  TAZAMA VIDEOS ZA SPEECHES MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI

   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  "Serikali haina shamba"
   
 3. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 12,586
  Likes Received: 15,042
  Trophy Points: 280
  SERIKALI HAITAWEZA KUWASAIDIA WAHANGA WA BUKOBA .UKIMWI KWENU MATETEMEKO KWENU HADI KUNA SEHEMU INATWA .....KWENU.


  SWISSME
   
 4. mtembea kwa miguu

  mtembea kwa miguu JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 813
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 180
  Mwafaaa...
   
 5. red bandama

  red bandama JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2017
  Joined: Jul 29, 2016
  Messages: 371
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Bukoba kila kitu nyie tu Ukimwi nyie, mto ngono nyie, katerero nyie, na sasa tetemeko nyie
   
 6. Nichumu Nibebike

  Nichumu Nibebike JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 28, 2016
  Messages: 6,299
  Likes Received: 10,100
  Trophy Points: 280
  Mwafaa!
   
 7. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,775
  Likes Received: 7,926
  Trophy Points: 280
  Sijaribiwi , narudia tena sijaribiwi mimi
   
 8. n

  nelly nashon JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 7, 2015
  Messages: 236
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Jenga kiwanda chako uwauzie bati kwa bei nafuu
   
 9. Castr

  Castr JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 5, 2014
  Messages: 6,605
  Likes Received: 10,932
  Trophy Points: 280
  "Kupanga ni kuchagua"
   
 10. jimmyfoxxgongo

  jimmyfoxxgongo JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 3,219
  Likes Received: 4,823
  Trophy Points: 280
  Fanyeni kazi tetemeko halikuletwa na serikali.
   
 11. Lancanshire

  Lancanshire JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 20, 2014
  Messages: 13,775
  Likes Received: 7,926
  Trophy Points: 280
  Asiye na hela apige mbizi
   
 12. Slas Nature

  Slas Nature Member

  #12
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 18, 2013
  Messages: 39
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  "No research.., no right to speak"
   
 13. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,227
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280
  Unaweza kutamani ukiwa mwanae jina uliruke!.
   
 14. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,227
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280

  Research ya aina gani tena?
   
 15. s

  scondo Member

  #15
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 25
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 15
  Unaongea Na lagers ama unaongea Na simu
   
 16. Troll JF

  Troll JF JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2017
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 6,448
  Likes Received: 9,329
  Trophy Points: 280
  Wanaolalamika kuwa hali ngumu ni wapiga dili
   
 17. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2017
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  #Sitawaangusha#
   
 18. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 12,586
  Likes Received: 15,042
  Trophy Points: 280
  PASCAL MAYALLA.KWA KISUKUMA NI ....


  SWISSME
   
 19. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 12,586
  Likes Received: 15,042
  Trophy Points: 280
  rambirambi.

  swissme
   
 20. Zakamwamoba

  Zakamwamoba Member

  #20
  Jan 8, 2017
  Joined: Jul 28, 2016
  Messages: 95
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 40
  Mwafaaaaaaaaaaaa
   
Loading...