kienyeji

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Pombe za Kienyeji Kuanza Kutengenezwa kwa Teknolojia ya Kisasa ili Kukidhi Viwango vya Ubora kwa Watumiaji

    SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA "Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  3. beatboi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  6. Slowly

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku. Wana visirani na viburi sijawahi ona. Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jinsi binti niliekutana nae kwa miezi mitatu alivyotaka kunibambikizia mimba ya miezi 4, Teknolojia ilimuumbua kwa uhuni wake wa kienyeji.

    Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu. Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamkamata Msabila Raulent Leonsia akituhumiwa kutengeneza silaha (gobore) kienyeji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa maliasili – TAWA Pori la Akiba Rungwa, linamshikilia Msabila Raulent Leonsia [48] Mkazi wa Kambi Katoto Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa tuhuma ya kupatikana na silaha – gobore mbili ambazo zimetengenezwa kienyeji. Mtuhumiwa alikamatwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  10. Brox

    JamiiForums Tanzania Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

    "Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko" Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo Haya Wanaume...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kwa wale muendao kwa waganga wa kienyeji...

    👉Tambua ushaibiwa nyota yako. 👉 Umepoteza nuru yako binafsi. 👉 Umepoteza uwezo wako binafs. 👉 Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti. 👉 Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili. 👉 Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa...
  16. Burhani Khaled

    JamiiForums Tanzania Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Habari za kazi waungwana. Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo. Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai? Shukrani za awali.
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mayai ya kienyeji Dar es Salaam

    Habari za muda huu, Nahitaji muuzaji wa jumla wa mayai ya kienyeji kwa wiki nitahitaji trey 15. Niko Dar es Salaam aliye serious anichek.0684-753836
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Wadau! Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam. Aliyenao naomba anicheck PM.
  20. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
Back
Top Bottom