kienyeji

  1. manka1

    JamiiForums Tanzania Nauza bata wa kienyeji

    Natafuta wateja wa bata wa kienyeji Madume 25,000 Majike 20,000 Mbagala charambe ndipo nilipo
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kienyeji ukiyaweka kwenye incubator yanatotoleka?

    Naombeni mniongezee maarifa kuhusu uwezekano wa kutotoleka Kwa mayai ya kienyeji yakila energy ya incubator yanatoa vifaranga?
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  4. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kipi kinakufanya utumie mayai ya kisasa na sio ya kienyeji?

    Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi. Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

    Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mayai ya kienyeji pure

    Habari wakuu, Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji. Karibuni sana. Ninapatikana Dodoma Mjini.
  10. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi. Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sijasomea ujenzi, uhandisi wala sina uzoefu na ujenzi, nilazimishe mwenyewe kienyeji kusimamia ujenzi au nitafute mtaalam mzoefu wa kusimamia ujenzi ?

    Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ? Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele. Sina ujuzi wala uzoefu wowote wa kujenga. Kwenye usimamizi kitu pekee nachoweza labda ni ulinzi wa vifaa na kuhakikisha mafundi...
  14. ALAGWA SAFI

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema. Location yangu ni Dodoma
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lengo ilikuwa kupita tu lakini kanasa na hataki kutoa. Naona hanifai nifanyeje kuliepuka hili?

    Mimi Sexless kazi yangu kubwa hapa mjini ni ukungwi. Natoa ushauri na kusaidia watu wa rika zote kutatua changamoto za mahusiano. Leo nimefikwa na mteja akanipa maelezo yafuatayo: "Kuna siku nilikosea namba akapokea msichana, kwa bahati alikuwa mji ninaoishi. Mahusiano yakanzia hapo. Bado...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  17. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji walivyovunja undugu kwenye ukoo wetu

    Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje maana wakati wadogo tulikuwa hatuambiwi chochote. Iko hivi familia ya mzee wangu walizaliwa watoto...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

    Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
  19. MKAMA SIMON

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari wakuu naomba mwenye viranga vya kuku wa kienyeji anaeuza tuwasiliane ,niko Mwanza.
  20. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Amini...Kuna waganga wa kienyeji kwenye hospitali kubwa hasa za Rufaa

    Mimi sio narrator mzuri so mnisamehe ..ila hii habari niliiamini...! Iko hivi kuna mtu tunaheshimiana nae sana tuseme ni rafiki ambae anajiheshimu sana wa zaidi ya miaka 20 tuko nae! Sasa bwana yule akapata tatizo kubwa sana kazini...yupo kule kwa wale jamaa wa Long room najua mnapajua...
Back
Top Bottom