kienyeji

  1. sammosses

    JamiiForums Tanzania Taifa halina vipaumbele, linaendeshwa kama biashara ya daladala

    Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka. Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala, kondakta ana nguvu kuliko dereva kwa kuwa tu ndiye mshika fedha. Kipau mbele cha serikali hakikidhi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

    Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari. Source:TV Kienyeji.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi

    Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi.
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  8. Simeone

    JamiiForums Tanzania Je, kuku aina ya broiler hawafugiki kienyeji?

    Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ili kuondokana na tozo, Serikali ihalalishe gongo, kilimo cha bangi na kurasimisha pombe za kienyeji

    Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

    Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani .. Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.! Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..! Yaani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nauza bata wa kienyeji kwa bei nafuu

    Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa Dume Uzito kg 4 - 5 Ana mwaka mmoja na miezi 6 Bei 30,000 Majike Wanaotaga wako 2 Bei 15,000@1 Mwenye watoto yuko 1 Bei 20,000 Pia kuna makinda wako 5 Bei 10,000@1 Pia kama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa? Aliewahi kufanya hivi anijibu
  13. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu

    Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

    Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia. Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  16. Indoraptor

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mganga wa kienyeji ajenga madarasa ya shule, achimba kisima, aweka solar

    Mganga mmoja wa tiba za kienyeji katika Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu amejitolea kwa gharama zake kujenga vyumba viwili vya madarasa ya kisasa, kuchimba kisima cha maji na kuweka umeme wa Sola kwenye shule mbalimbali wilayani humo. Mganga huyo Ndabagija Katani amesema ameamua kufanya hivyo...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

    Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
  19. emmarki

    JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
Back
Top Bottom