kienyeji

  1. TURIAN

    JamiiForums Tanzania Radio Free Africa na waganga wa kienyeji

    Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo. Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu. Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!? Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

    habari wadau. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina. hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao. nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
  4. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji atapeliwa Mbeya, aenda kulalamika kwa mkuu wa mkoa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara. Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

    Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji) Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua. Fanya kitu kimoja: Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
  6. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

    Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Askari wastaafu wengi wanaishia kwenye vilabu vya pombe za kienyeji baada ya kustaafu?

    Habari wanjf. Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake. Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

    Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki. Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
  10. thisisboman1

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya 'Mabrazameni' wa Dar Magari yao wanayaosha Kienyeji Vichochoroni na huyapeleka Gereji Bubu yakiharibika?

    Katika huu Uzi wangu Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Comments zenu tukuka juu ya Hoja Kuu niliyoianzisha
  12. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Tufanye wewe ni mganga wa kienyeji 😂

    Nipe masharti yako ili nitajirike, tuone mwenye masharti magumu 😂
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kumbe mke wa stephen curry ni wa 'Kienyeji'

    Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu. Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo ya kikubwa ndo maana wamedumu kwenye hili penzi.
  15. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Kienyeji wanauzwa

    Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada. Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji. Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/- Kuku Hawa Ni...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji akamatwa akidaiwa kusababisha kifo cha Mtoto

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  18. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  19. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda washauri Wanajeshi wako wasipende 'Kujilundika' katika 'Baa: Moja na 'Kugambeka' ovyo

    Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
Back
Top Bottom