kienyeji

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo. Mganga...
  2. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  3. Cisco_G

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

    Habari wanaJf. Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia. Kwa anaye hitaji au mwenye...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
  5. Tunguli ya Rais

    JamiiForums Tanzania Naomba kulekezwa kwa mtaalamu wa kienyeji

    Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba zote nafanyiwa adi kupandisha na nyota, kuaguliwa na kusunzwa kwa dawa, nikitoka hapo niko fresh...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

    Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
  7. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Sikiliza mpaka mwisho huu ni Unabii au uganga wa kienyeji?

    sikiliza audio clips zote na kisha useme neno
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  9. Iheanacho

    JamiiForums Tanzania Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi. Nifanyeje?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tukikubaliana na dhana za kuikejeli elimu kisa Profesa Muhongo kakejeliwa tutapotea kama Taifa

    Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni. Naona kama...
  11. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa viongozi wa dini ni hatari kuliko hata waganga wa kienyeji

    Inasikitisha sana viongozi wengi kuacha kufanya walichoagizwa na kuanza kuogopesha watu. Badala ya kufundisha kilicho kwenye maandiko na kuacha mtu afanye uamuzi, wengi wanapamba zaidi kuwatisha. Kiongozi anaedai anahubiri anahubiri hivi Hapo amehubiri nini? Amefundisha nini? Umeamua...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

    Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k. Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha. Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka dawa za kienyeji (asili ) zitolewe kwenye hospitali za Serikali ni vema wakaruhusu pia kupiga Chale na ramli

    Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale . Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji kutoka Singida wanauzwa

    Nauza kuku wa kienyeji kutoka singida. Nauza jumla na reja reja. Pia napokea oda kwa wale wenye mahoteli na migahawa 📞0719805851
  18. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Connection ya namba za waganga wakali Bongo

    Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako 1. Waganga wa kupata likes nyingi 2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa 3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O 4. Waganga wa kula mgahawan bure 5. Waganga wa kupasua pepa 6. Waganga wa kutokuombwa hela na...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maswa: Wanafunzi 68 wapata ujauzito. Jamii yaendelea kuwaficha watuhumiwa na kumalizana kienyeji

    JUMLA ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu. Taarifa ya Jeshi la Polisi wilayani humo dawati la jinsia, imeeleza kuwa shule za msingi ni wanafunzi watatu wakati wa...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya achuma hela Ulaya kwa kugema pombe ya kienyeji

    Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$ Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK MURATINA A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
Back
Top Bottom