kienyeji

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji wametusaidia. Tusiwabeze

    Leo ukiwa unaimba kwaya unarukaruka unawatukana waganga wa kienyeji na kusahau kuwa huenda sasa ungekuwa unaitwa marehemu. Ila waganga wa kienyeji ndio waliokutoa kwenye mikono ya adui zako kipindi ukiwa mtoto au kijana. Nakumbuka nikiwa darasa la tatu siku moja nikiwa shule nilipata stroke ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taarifa kamili kuhusu kuwasili kwa klabu zetu za Simba na Yanga katika Michuano ya Kimataifa na ile ya Kienyeji

    Simba SC Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
  3. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kushusha Sukari Kienyeji

    Kushusha Sukari Kienyeji Pole kwa wote wanaosumbuliwa na sukari iliyozidi kwenye damu (kisukari). Nimepata kusikia kwa watu fulani wakisimulia walivyofanikiwa kushusha sukari kwa haraka na kwa mafanikio. Kabla ya kueleza zaidi, tafadhali zingatia yafuatayo: 1. Mimi siyo daktari wa tiba za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapingamizi ya Tundu Lissu yalikaa kienyeji sana yalijikita kwenye ujazaji wa fomu badala ya kilichojazwa

    Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani . Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu...
  5. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  6. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

    Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeuza mayai ya kisasa kwa Dar es Salaam

    Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300.. Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutakiongezea bajeti kitengo cha dawa asili kimetusaidia kupambana na Corona, dawa za kienyeji zinaponya

    “Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM “Watu wanapotengeza dawa za...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji kwa lengo lako ni kuwa na kuku wengi?

    Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora Kwanza kabisa napenda...
  10. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Kuagiza kuku wa kienyeji

    Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje. Na gharama za usafirishaji zikoje ?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uganga wa kienyeji hurithishwaje?

    Habari wana jamvi, Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Je, hurithishwa kutoka kwa babu/bibi kwenda kwa mjukuu au baba/mama kwenda kwa mtoto? Je, mganga wa kike anaweza kumrithisha wa kiume au vice versa? Mwenye uelewa wowote tufahamishane.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unaziamini dawa za kienyeji, unadhani Waafrika watafanikiwa kujipatia ufumbuzi wa Korona?

    Nchi za Afrika zinakabiliwa na shinikizo zaidi la kutafuta mikakati ya kupambana na janga la Corona. Huku ulimwengu ukiwa mbioni kutafuta chanjo na tiba ya ugonjwa wa Covid 19 ambao umeathiri kila kona ya ulimwengu. Nchi kadhaa za Afrika zikiongozwa na Madagascar zimevumbua dawa za kiasili au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji pure, nahitaji wa kuuniuzia tetea nipo Dodoma

    Naamini mko salama wakuu, Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni kuwaomba ndugu wafugaji kuniuzia mitetea kumi ya adabu ili niendelee kujikwamua. Niko dodoma na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Pata mayai ya kienyeji pure 12,000/=(tray)-Arusha

    Ni Mayai ya kienyeji kabisa na yenye ubora wa hali ya juu ,njoo ujipatie au weka order yako bei ni Tsh. 12,000/=(Trei ya Mayai 30) Ukihitaji utaletewa mpaka mlangoni. TUNAPO SEMA NI MAYAI YA KIENYEJI TUNA MAANISHA HASWAA. Call 0693100453 WhatsApp 0765894955
  15. Ontama

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejuwa chanjo ya kuku wa kienyeji

    Wadau habari za jioni, naomba nijikite kwenye mada Kama inavyo someka, anayejuwa chanjo ya kuku wa kyenyeji tafadhari anisaidie maelekezo
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ameponzwa na safari za dada kuiweka ndoa yake sawa ameolewa na mganga wa kienyeji

    Yametokea huku kwetu Nanjilinji. Salome alitolewa posa na kijana kutoka DSM. Tulifahamishwa mchumba wa Salome wakati tunashonewa sare za wasindikizaji harusi. Baada yaharusi Salome alindoka kwenda DSMna mume wake. Haikuchukua muda alimtumia nauli mdogo wake Esther amfuate huko DSM. Baada ya...
  17. Informer

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama ya Wilaya Kigoma Mkoa wa Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venas Edward (48), mkazi wa Ujiji Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo...
  20. Damian J Ntundagi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu mayai ya kienyeji

    Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
Back
Top Bottom