Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
habari wadau.

Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.

hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.

nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa na mganga wake. ni vizuri wengine muione mjifunze jinsi waganga wanavyotapeli watu
waganga wanavyofanya kazi zao
 
Kama ilivyo kwa manabii matapeli kama kina Mqamposa wanaouza mafuta laki kumuona laki 2 basi na waganga matapeli wapo, Pia kwa ma ustadh wapo matapeli wanasoma vifungu kwa pesa ndefu basi na waganga matapeli wapo.

Matapeli wamejazana kwenye uganga lakini haimaanishi kwamba waganga wote ni matapeli.

Waganga wa kweli wapo lakini huji kuja kuwaona wanajitangaza kwenye nguzo ama mitandaoni huko facebook, tiktok, n.k.

Waganga wanaojua wanachokifanya huwa hawana presha ya malipo, utaambiwa utoe chochote baada ya matokeo, sio hawa matapeli wanaotanguliza pesa.
 
habari wadau.

Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.

hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.

nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa na mganga wake. ni vizuri wengine muione mjifunze jinsi waganga wanavyotapeli watu
View attachment 2830651waganga wanavyofanya kazi zao
Wizi mtupu
Kwanza wanawaingiza watu kwenye shida zaidi
 
wewe ni dalali wa mganga

ama wewe kazi yako ni mganga wa kienyeji

lazima useme hivyo ili ugali wako usipotee
Mawazo yako ndio finyu kuliko unavyodhani pole sana dalal umeona wap nmeweka namba hapo tena nyie mnaosema haya humu ndio mnaongoza kupishana huko kwa waganga mkija humu mnazuga kama mnatoka tumbo moja na Yesu mwana wa Mariam
 
Hahaha

Ova
 
Back
Top Bottom