kienyeji

  1. T

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je kuku wamegoma kutaga? Yai la kienyeji 900/=

    Hii bei inatisha, na ukifuga kuku wa kienyeji hawatagi kabisa siku hizi
  4. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  5. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida yaanda kuku choma wa kienyeji kulisha wageni zaidi ya 6000 kuelekea Mei Mosi

    Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
  8. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

    Kuna mtu huko inbox ameniita wa kienyeji, nimemuuliza inamanisha nini amekataa kuniambia. Naomba mniambie hili jina linamaanisha nini? au ni tusi? Nimejaribu kusearch humu JF nakutana na nyuzi za “kuku wa kienyeji” na “waganga wa kienyeji” tu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania DNA ya kienyeji

    South African traditional DNA test. This is a common practice by the Zulu people of South Africa. Also practiced in Zimbabwe and Lesotho. The cows approach cautiously and harmlessly to inspect and sniff the baby. If the baby remains calm through the process, it belongs to the family. But if it...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Soko la kuku wa kienyeji

    Naomba kufahamu wateja na soko la kuku wa kienyeji Dodoma na mikoa jirani
  15. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini vilabu vingi vya pombe za kienyeji hupenda kupiga nyimbo za zamani hasa zenye asili ya Kongo?

    Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji? Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

    Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second Hii ni ya miaka mibgi. Analalamika kifua kibana na maumivu...
  17. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa/spell ya kienyeji ya kukuza uteja katika business yako ili uongeze kipato au ni myth tu?

    Karibuni.
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

    Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi inavyotengenezwa mpaka kuwa tayari kwa matumizi. Pia kunywa pombe yenyewe na kutoa mtazamo juu ya...
  19. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

    Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu. Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini. Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi. Kama...
  20. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
Back
Top Bottom